Outing zote zimegoma

Outing zote zimegoma

Jack Palladino

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2018
Posts
7,231
Reaction score
22,494
Nipo nchi za watu,
Screenshot_20221231_195037_WeChat.jpg
Screenshot_20221231_194820_WeChat.jpg
Leo kila nikijaribu kuomba outing na watoto wa kizungu zinagonga mwamba!..what a bad day😩 kuishi mbali na home ni shida sana.
 
Sawa Kiongozi, ila ndio shawishi ki jantal. Sio unauliza tu Mdada wa watu any plan today sijui countdown party...be gentle. Hamasisha mtu aache shughuli zake aone Bora amepata Cha kufanya Leo.

Usizingatie sana mastori ya Uzi wa kimasihara.
Wenzetu wapo tofauti kidogo mkuu, ameshasema hivyo ndio basi tena.
 
Jamaa yupo sahihi sana. Pisi za kizungu zipo very straight.

Kama mtatoka anakuambia. Kama hana mpango, ni ngumu sama kucancel ratiba zake.

Kama pisi unatoka naye tu alimradi na no hook up basi achana nazo. Usizilazimishe.

U have a better option, stay home.
 
Back
Top Bottom