Outing zote zimegoma

Ngozi nyeupe uwa ni tamu sana. Enjoy mkuu
 
Hii ni sawa na kutangulia kubook hotel na kulipia chumba kabisa afu later uanze tafuta mwanamke. Not a good idea
Nimefanya aweke plan yani hapo hela na ajue ratiba ni nini na nini. Kisha ndio amwambie mtu "hello Jane am going to ..... I would like you to come by"

Hapo unampa ugumu wa kukataa na maelezo kidogo. Ukisema "unaweza kuja tutoke?" hapo anajua utaelewa asipokuja na atajibu "siwezi". Ukisema "twende CFM saa mbili usiku" atabidi aseme kwanini hawezi kuja na hapo anakupa nafasi ya kubadili mawazo yake.

Inabidi muwe mmezoeana na asiwe mshamba
 
Baharia anatuangushaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kwenye hili eneo ataibuka kidedea, Kuna mambo tunaweza kushindwa ila sio hii idara. Zitatumika tekiniks zote unazijua na akili nyingi hua tunaitumia kwenye hili eneo.

Mtanzania awe mlugaluga namna Gani, ikifika hapa ndio hua sehem ya kuonyesha vipaji vyetu.

Jamaa hawezitoka Kapa, it's about national flag.
 
Yaani hao unawaomba ili mtoke mkapate msosi pamoja na matembezi ya hapa na pale basii??

Kutinduana hamna kabisa, au mi ndo sielewi mambo ya uzungu!??
 
Mbeba box mwenzangu unafeli kwenye timing,hao huandaliwa mapema ili wajiweke sawa,hua hawatoki out kwa kukurupuka,sasa wewe unataka kujaribu Suti siku ya harusi kweli?
 
Mwamba hebu tuletee mrejesho Sasa, usanii ulifanikiwa au Hadi tunafunga na kukaribisha mwaka ubao hausomeki?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…