Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
- Thread starter
- #61
Ngozi nyeupe uwa ni tamu sana. Enjoy mkuuWhen boredom hits hard like a train-wreck. Pole sana mazee. Mimi leo asubuhi tu saa 1 hivi nimepigiwa simu za mwaliko, hapa nimetoka kutupia lunch moja hatari sana kwa watoto fulani hivi wa Kiarabu.
Usiku naenda kuhudhuria mwaliko mwingine, huko sasa kitawaka mno. Hapa napumzika nipate nguvu za kukesha baadae.
Best Festive Season so far....