Outing zote zimegoma

Outing zote zimegoma

Sasa chukua bendera ya taifa, iweke mbele Yako, huku ukiwa unaitazama jipige kifuani sema Mimi ni kijana wa kitanzania na hii ndio tasnia tunafanya vizuri.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
When boredom hits hard like a train-wreck. Pole sana mazee. Mimi leo asubuhi tu saa 1 hivi nimepigiwa simu za mwaliko, hapa nimetoka kutupia lunch moja hatari sana kwa watoto fulani hivi wa Kiarabu.

Usiku naenda kuhudhuria mwaliko mwingine, huko sasa kitawaka mno. Hapa napumzika nipate nguvu za kukesha baadae.

Best Festive Season so far....
 
Back
Top Bottom