Overrated na Underrated

TBC underated
UVCCM underated
MWAKINYO underated
LIPUMBA underated
SIMBA SC OVERATED
 
Mimi Mars mwenyewe anajirudisha nyuma kwa kushindwa kutoka kwenye kivuli cha dada yake.

Akifanya Interview zaidi ya 85% anamwongelea dada yake kitu ambacho ni cha kijinga sana.

Inaonekana kama wanaomhoji ni kama walitaka kumhoji Vanessa lakini hawampati.
 
Kwa mpoki hapo sikibaliani....jamaa kwangu ndo best.
Joh makini ...underrated
Nash Mc.....underrated

Sijui umetumia Sababu zipi ila nachojua Mpoki ni Underrated!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mpoki ni overrated hilo lipo wazi,

Hana jipya kuchekesha hajui,

Kitu anachokifanya ni kuchukua vimisemo vya mitandaoni na kutengenezea vi-video vyake

Ana ile ya kukera ndo kabisaaa utumbo

Kifupi mwamba ni overrated na hajui

JOTI anajua.
 
Kwa sasa kwa uimbaji wa nyimbo za kumbeleza sio wa kumfikia Marioo.

Marioo akijiunga na WCB atapewa bonge la promo Harmonize akasome
 
Yeye anashindwa nini kuwa cut short hao interviewers ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…