Overrated na Underrated

Overrated na Underrated

TBC underated
UVCCM underated
MWAKINYO underated
LIPUMBA underated
SIMBA SC OVERATED
 
Mimi mars namuelewa sana kwa sasa kuliko dada yake..Ana uimbaji fulani natural..Underrated√√

Young Lunya freestyle session zake za moto sana..ana ubizz babiloni fulani kwa mbali...I think ana derseve alipo..He is not underrated or overrated IMO
Mimi Mars mwenyewe anajirudisha nyuma kwa kushindwa kutoka kwenye kivuli cha dada yake.

Akifanya Interview zaidi ya 85% anamwongelea dada yake kitu ambacho ni cha kijinga sana.

Inaonekana kama wanaomhoji ni kama walitaka kumhoji Vanessa lakini hawampati.
 
Kwa mpoki hapo sikibaliani....jamaa kwangu ndo best.
Joh makini ...underrated
Nash Mc.....underrated

Sijui umetumia Sababu zipi ila nachojua Mpoki ni Underrated!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mpoki ni overrated hilo lipo wazi,

Hana jipya kuchekesha hajui,

Kitu anachokifanya ni kuchukua vimisemo vya mitandaoni na kutengenezea vi-video vyake

Ana ile ya kukera ndo kabisaaa utumbo

Kifupi mwamba ni overrated na hajui

JOTI anajua.
 
01.KENEDY THE REMEDY
Jamaa ni presenter mzuri,hatumii nguvu nyingi kupresent,lakini ni UNDERRATED SANA

02.MALKIA KAREN

Huyu mrembo ana uimbaji fulani mzuri sana lakini ni UNDERRATED sana

03.OTUCK WILLIAM

Bonge la rnb singer,tafuta ngoma zake youtube utanielewa..mfano push it ft Joh Makini..UNDERRATED sana

04.MPOKI

Hajawahi kunichekesha..OVERRATED comedian

Leta under na over zako
Kwa sasa kwa uimbaji wa nyimbo za kumbeleza sio wa kumfikia Marioo.

Marioo akijiunga na WCB atapewa bonge la promo Harmonize akasome
 
Mimi Mars mwenyewe anajirudisha nyuma kwa kushindwa kutoka kwenye kivuli cha dada yake.

Akifanya Interview zaidi ya 85% anamwongelea dada yake kitu ambacho ni cha kijinga sana.

Inaonekana kama wanaomhoji ni kama walitaka kumhoji Vanessa lakini hawampati.
Yeye anashindwa nini kuwa cut short hao interviewers ?
 
Back
Top Bottom