Overrated na Underrated

Mkuu its true about dozen.....but kuhusu kule kupiga kelele unakokusema ww kwa mchomvu, hata yeye na pia bdozen walishawahi kusema kwa nyakati tofauti kwamba kipindi wanapata wazo la kuanzisha xxl kila mmoja alipewa uhusika wake........Yeye, mchomvu na fetty......ambapo bdozen awe mtu smart na wakuchimba sana vitu na always serious mpka kwenye utangazaji, Fetty awe mtu flani ambaye kwenye mahojiano na utangazaji kama mtu flani just simple na kufanya backup ya mule anamopita dozen afu adamu awe mtu ambaye haeleweki ni nani kwenye show moree than just creating vibes pale inapohitajika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…