Overrated na Underrated

Overrated na Underrated

Mkuu its true about dozen.....but kuhusu kule kupiga kelele unakokusema ww kwa mchomvu, hata yeye na pia bdozen walishawahi kusema kwa nyakati tofauti kwamba kipindi wanapata wazo la kuanzisha xxl kila mmoja alipewa uhusika wake........Yeye, mchomvu na fetty......ambapo bdozen awe mtu smart na wakuchimba sana vitu na always serious mpka kwenye utangazaji, Fetty awe mtu flani ambaye kwenye mahojiano na utangazaji kama mtu flani just simple na kufanya backup ya mule anamopita dozen afu adamu awe mtu ambaye haeleweki ni nani kwenye show moree than just creating vibes pale inapohitajika
Sisikilizi sana show za mchana now days

Ila kwa bongo hii mpaka sasa B - 12 anabaki kuwa king of afternoon show

Dozen anajua kum - interview mtu vizuri na maswali ya kueleweka mchomvu ni mpiga kelele

Dozen anajua aongee nini wakati gani mchovu hachelewi kutupi neno la ajabu na kijinga hata tusi katikati ya show

Dozen anajua time management vizuri kitu amabacho mchomvu hana fuatilia show ambazo ana host mchovu pekee utaliona hili

Kingine kwa utangazaji bongo hii lil ommy yupo overrated sana

Na kingine tu Dozen ni rol model wa watangazaji wengi sana angalia wangapi wana-copy staili yake ya utangazaji

Nakusubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom