monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
dogo hama hapo kwa shemeji panakulemaza sana fikraI thank God kwamba nimefikisha ujumbe, nina uhakika utaufanyia kazi.
Stay safe, corona is real.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dogo hama hapo kwa shemeji panakulemaza sana fikraI thank God kwamba nimefikisha ujumbe, nina uhakika utaufanyia kazi.
Stay safe, corona is real.
Ulitaka achukuliwe vipi?Anatakiwa kuchukuliwa zaidi ya anavyochukuliwa sasa
Nandy na Lavalava overrated kivipi?Nandy - OVERRATED sana
Kiba - OVERRATED sana
Lavalava - OVERRATED sana
Kingsmash-Underrated01.KENEDY THE REMEDY
Jamaa ni presenter mzuri,hatumii nguvu nyingi kupresent,lakini ni UNDERRATED SANA
02.MALKIA KAREN
Huyu mrembo ana uimbaji fulani mzuri sana lakini ni UNDERRATED sana
03.OTUCK WILLIAM
Bonge la rnb singer,tafuta ngoma zake youtube utanielewa..mfano push it ft Joh Makini..UNDERRATED sana
04.MPOKI
Hajawahi kunichekesha..OVERRATED comedian
Leta under na over zako
District nine ndo nani huyo?Kingsmash-Underrated
Queen fifi female emcee which are underrated
Cza wa PB-Overrated
Samsasali-Overrated
District 9nine-Underrated
Mkutubi-Underrated
nk
hahaahhaha hili ni kundi la muziki mkuu liko chini ya BHITZ/Pancho RIP
Mc Pilipili overrated
Grace Matata underrated
Nikki wa Pili overrated..Smartness wise
Boshoo ninja..Underrated..Hiphop
Amberutty underated, kwa Mambo anayofanya alipagawa awe regarded as Malaya mkubwa wa kimataifa Ila tunamchukulia Malaya poa wa kawaida
Kwa mpoki hapo sikibaliani....jamaa kwangu ndo best.
Joh makini ...underrated
Nash Mc.....underrated
Uzi wa kula tunda kimasihara ni Underrated
Nitumie link mkuu
hamia uko fb sasa uku unasubir nnJamii Forums - Overrated
Facebook- Underrated
Instagram -Overrated
Badoo- Underrated
Sent using Jamii Forums mobile app