Oya abiria sogea upande wa pili! Kwenu Wana JF wa Kipato cha chini, mnaijua hiyo sehemu?

Upande wa pili ni usogelee viti vya kulia au kushoto katikati kubaki nafasi.

Au utasikia, abiria rudini nyuma rudini nyuma. Oya sister adjust kidogo basi hapo.
Ila makonda 😀😀
 
Pole mkuu,

Daladala ni usafiri wa hovyo saana.

Ni hizi shida tuu, kama sio hizi shida kila MTU atumie usafiri binafsi
 
Nina miaka mingi sana sijapanda daladala, sema tu ngozi nyeusi ustaarabu sifuri..mimi hata nisipotoka na gari basi nitapanda boda au bajaji!

Kama mwendokasi ni bonge la project ila uendeshaji wake sasa, ukipanda mara moja hutamani kurudi tena!
 
Yes
Mwendo Kasi upo fresh saana ila watu Wana banana saana.

Alafu baridi sasa ni Kali saaanaa
 
Back
Top Bottom