Hulda-Tamarri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 2,714 Reaction score 4,074 Aug 5, 2026 #21 Upande wa pili ni usogelee viti vya kulia au kushoto katikati kubaki nafasi. Au utasikia, abiria rudini nyuma rudini nyuma. Oya sister adjust kidogo basi hapo. Ila makonda ππ
Upande wa pili ni usogelee viti vya kulia au kushoto katikati kubaki nafasi. Au utasikia, abiria rudini nyuma rudini nyuma. Oya sister adjust kidogo basi hapo. Ila makonda ππ
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 21,152 Reaction score 48,355 Aug 5, 2026 #22 Pole mkuu, Daladala ni usafiri wa hovyo saana. Ni hizi shida tuu, kama sio hizi shida kila MTU atumie usafiri binafsi
Pole mkuu, Daladala ni usafiri wa hovyo saana. Ni hizi shida tuu, kama sio hizi shida kila MTU atumie usafiri binafsi
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,480 Reaction score 38,367 Aug 5, 2026 #23 sumbai said: Pole mkuu, Daladala ni usafiri wa hovyo saana. Ni hizi shida tuu, kama sio hizi shida kila MTU atumie usafiri binafsi Click to expand... Nina miaka mingi sana sijapanda daladala, sema tu ngozi nyeusi ustaarabu sifuri..mimi hata nisipotoka na gari basi nitapanda boda au bajaji! Kama mwendokasi ni bonge la project ila uendeshaji wake sasa, ukipanda mara moja hutamani kurudi tena!
sumbai said: Pole mkuu, Daladala ni usafiri wa hovyo saana. Ni hizi shida tuu, kama sio hizi shida kila MTU atumie usafiri binafsi Click to expand... Nina miaka mingi sana sijapanda daladala, sema tu ngozi nyeusi ustaarabu sifuri..mimi hata nisipotoka na gari basi nitapanda boda au bajaji! Kama mwendokasi ni bonge la project ila uendeshaji wake sasa, ukipanda mara moja hutamani kurudi tena!
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 21,152 Reaction score 48,355 Aug 5, 2026 #24 Lavit said: Nina miaka mingi sana sijapanda daladala, sema tu ngozi nyeusi ustaarabu sifuri..mimi hata nisipotoka na gari basi nitapanda boda au bajaji! Kama mwendokasi ni bonge la project ila uendeshaji wake sasa, ukipanda mara moja hutamani kurudi tena! Click to expand... Yes Mwendo Kasi upo fresh saana ila watu Wana banana saana. Alafu baridi sasa ni Kali saaanaa
Lavit said: Nina miaka mingi sana sijapanda daladala, sema tu ngozi nyeusi ustaarabu sifuri..mimi hata nisipotoka na gari basi nitapanda boda au bajaji! Kama mwendokasi ni bonge la project ila uendeshaji wake sasa, ukipanda mara moja hutamani kurudi tena! Click to expand... Yes Mwendo Kasi upo fresh saana ila watu Wana banana saana. Alafu baridi sasa ni Kali saaanaa