Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
anaye elewa na aelewe, Kama si kwa ajili yako jiheshimu hata Kwa ajili ya kizazi chako.True
I intend no ill will towards anyone.I mean no malice to nobody
kaka wana sema Kama mtu huwezi jiheshimu, ya nini utake heshima ya mwingine.Mtu mjinga na mpumbavu pekee ndie anaweza kununua malaya!
My favorite enemy mzima wewe?, mbona pasaka huku nialika?I intend no ill will towards anyone.
Naam tuishi humu.Very true, Brother!
Tabia kama hizo sio za kulaumu sijui wazazi, mara serikali, au mtu yeyote, hizo ni tabia personalkaka wana sema Kama mtu huwezi jiheshimu, ya nini utake heshima ya mwingine.
uanaume si kusimamisha tu, na kuji ongoza ndio misimamo yenyewe.
Sahihi kabisaTabia kama hizo sio za kulaumu sijui wazazi, mara serikali, au mtu yeyote, hizo ni tabia personal
Gender yenu si ndio ilimsaliti Yesu? Nisingeweza kukualika kweli .My favorite enemy mzima wewe?, mbona pasaka huku nialika?
Sija force tufanane mkuu, we endelea kununua hata 20 mbona vere tu.Kila mtu na maisha yake bwana mdogo usiforce tufanane.
ko hiyo pilau mli kula gender yenu pekee 😂😆Gender yenu si ndio ilimsaliti Yesu? Nisingeweza kukualika kweli .
Naam wana sema kioo kina akisi kinacho onekana, tabia mbovu ni Kama tyre lazima ziku rudie tu.Asante kutukumbusha...ajabu wapo watakuja kukuponda...hao hao ndo kila siku kulalamika family issue humu mitandaoni
Sasa wewe hujiheshimu utaheshimiwa vipi na mke wako au watoto wako
Starehe na anasa zilizopitiliza kama ufuska ni ubinafsi na mwishowe majuto