Oya
Intelligent businessman natabiri uzi huu watakuponda sana ila mimi nipo hapa kusema nimekuelewa na nimemtimua huyu malaya niliyemchukua jana ni vile nilipitiwa na maji .
Mzee wako nilizungumza naye kwa simu ya mkewe baada ya kwenda kuomba namba na kuomba kujua hali yake ila dada yule hakuwa tayari kunipa namba wala kunikaribisha nyumbani zaidi ya kunijibu shit shit na kupiga simu eti ongea na huyu dogo 🤔
Anayeniita dogo ni mtoto mdogo kwangu na bad enough miaka ile na cheo nilikuwa juu ila aliamua kuniharass lengo nikasirike apate kusema sijaacha ukorofi maana kituo alichokuwepo nimewahi kuwepo kabla hivyo wakongwe walinikumbuka .
Sina zaidi ya salamu zake kwetu na kusema yuko salama na bukheri wa afya ila eti atatutafuta kwa muda wake .
Ila nilichokinote mzee ni kama sasa hivi ana maisha zaidi maana hata sauti inatoka kipesapesa hivyo sitaacha kumsumbua mkewe mpaka ifike hatua na mimi nikutane naye naweza kuneemeka naye .
Ni hayo mkuu ,pamoja sana ,bado PM yangu hata nikifanya ulivyo nishauri ni gale gale .
Kwasasa mbeya mjini _Uhindini