Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Sijajua maeneo mengine Ila mji ninaoishi mimi kila mwanamke Anajiuza,Ila styles tu zimetofautiana..Ila wote Malaya Hadi wake za watu,ongea vizuri kwa herufi kubwa unapewa..
 
MFUPI ana ladha yake..
KIMBAU MBAU ana ladha yake
MREFU ana ladha yake,...
MWEUSI ana ladha yake,...
MWEUPE ana ladha yake,...
CHIBONGE ana ladha yake,...
KIZIWI ana ladha yake,..
MCHINA ana ladha yake,..
MZUNGU ana ladha yake,..
MKIMYA ana ladha yake,...
MMASAI ana ladha yake,..
WANAFUNZI wana ladha yao,..
MNYAKYUSA ana ladha yake,...
MWENYE WOWOWO KUBWA ana ladha yake,....
MISHANGAZI ina ladha yake. ..( Poor Brain )

WANAWAKE wako wengi kuliko WANAUME ,..hao wengine nimwachie nani🤔🤔 mzabzab

Kwanza hamnaga mambo ya nuksi, uchawi, muujiza wala BARAKA,..wala dhambi,..hizo ni POROJO TU,... min -me

Haya maisha TUSIPANGIANE,.. wengine tanaona mwanaume kuna na mwanamke mmoja ni aina ugonjwa kama magonjwa mengine tu,....
Huyo jamaa ajitambui 😂😂😂😂
 
Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.

Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.

tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Acha niwe mjinga tu,kwa warembo wale lazima ninunue nikojoe
 
Back
Top Bottom