Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Kwahy tule flat screen daily , pisi Kali , Tako kubwa tukuachie wew baharia
You mean no malice to nobody ?Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.
Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.
tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Mimi mzima kaka naendelea vizuri kitambo sana nilikuwa offline nmerudi leo the first thread nafungua happens to be urs kakamzima sister ake?, waendeleaje na hali?
Wanaume wanaonunua malaya si mashujaa, ni watumwa wa tamaa zao.Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.
Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.
tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Malaya wengi sana siku hizi,na ukute anamlamba nyapuShida ni kwamba hata uyo uliyenaye unayedhani ni wako anauza sehemu nyingine wewe hujui. Haya mambo hutakiwi kujiaminisha au kuwaaminisha sana wengine. Hakuna asiyetamani kutulia na mmoja shida inaanza kila mtu keshachafukwa.
Hata anayenunua au kuuza usidhani hajui basi tu watu wengine hawana namna na ukiwapa nafasi ya kuwasikiliza utaelewa na kubaki mdomo wazi.
Jana nili kuwa na siku ndefu na yenye kuchosha, sijui nili lala saa ngapi ila nahisi kabla ya saa 5 .Mimi mzima kaka naendelea vizuri kitambo sana nilikuwa offline nmerudi leo the first thread nafungua happens to be urs kaka
Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.
Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.
tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Sahihi kabisaFact, na kama Kila mmoja angekua na uelewa huu bas hizo biashara zingekosa soko na dada zetu wangetafuta njia nyingine halali za kuishi.
Kwa hiyo mkuu kama ni mchepuko wa kawaida ni sawa? Duh, nina miaka mingi sijachepuka! Kwa kweli huwa nawaza sana kabla ya kuchepuka! Lakini kuna chovyachovya hapa duniani hatari sana!Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.
Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.
tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Hakika mkuuPamoja sana, tuishi humu
mchepuko ni sawa na kuto jiheshimu mwenyewe na hata huyo mkeo shekhe.Kwa hiyo mkuu kama ni mchepuko wa kawaida ni sawa? Duh, nina miaka mingi sijachepuka! Kwa kweli huwa nawaza sana kabla ya kuchepuka! Lakini kuna chovyachovya hapa duniani hatari sana!
Hao kundi la mwisho watunzwe na waheshimiwe Sana.Kuna wengine wengi tu wapo kwenye mahusiano, ila ngono wanauziwa na ukisema umchunie akupigapo mzinga ngono upati au utapata ile sio kivile huku mwenzako akitafuta mwenye hela akufanyie sub.
Kwa kifupi wanawake walio wengi ule moyo wa kuvumilia nyakati mwanaume anapitia magumu ya kiuchumi hawana na ndio maana kwa dunia ya sasa fedha imerahisisha sana upatikanaji wa ngono na imepoteza ile thamani ya uchumba na ndoa. Siku hizi kusikia mtu kapita na marafiki wa mchumba wake karibia wote ni kawaida na ukichunguza ni njaa tu.
Japo wanawake wavumilivu,ambao kwao ukiwa nacho wapo na ww unapopitia msoto bado wapo na ww ila ndio unawatafuta kwa tochi. Siku hizi wengi wa ajiuza either direct au indirect.