Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Madomo zege waponee wapi ,wavivu wa kufikiri wanafanyia kazi uchi zao
 
Ngono ni udhaifu namba moja kwa mwanaume, ukiishinda hiyo tamaa wewe ni kidume, its not easy hata kidogo.
Nime fika kwenye level hiyo kaka, licha ya kuwa na access za hapa na pale.

Interaction ya warembo wa kila namna, ila naamua kukaa kwenye box langu.

mazoezi, dedication ya ninacho kihitaji, recuperation vina nisaidia Sana kuwa makini.
 
Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.

Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.

tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Sawa chief ujumbe umetufikia
 
Madomo zege waponee wapi ,wavivu wa kufikiri wanafanyia kazi uchi zao
udomo zenge ni concept ya kufuchia ujinga tu, infact uki shindwa approach mchuchu waweza mwambia hata rafiki yake aku pigia pasi.

hao wanawake wauzaji hatuwezi jivunia uwepo wao.
 
Malaya pia wana mchango wao kwenye jamii kupunguza kiu ya wale wanaume wasioweza kupata tendo kwa njia rasm kama kutongoza na kuoa... Kuna kes za ubakaj ukizskia mpka mchungaj utamskia anasema wapo ad wanawake wa 3000 lakn kaenda kubaka.. ndio ujue hao n kama chumv na sukar usipoihitaj asubh utaitumia jion
Duh mchango wa Malaya kumbe ndio huo?,damn it
 
Nime fika kwenye level hiyo kaka, licha ya kuwa na access za hapa na pale.

Interaction ya warembo wa kila namna, ila naamua kukaa kwenye box langu.

mazoezi, dedication ya ninacho kihitaji, recuperation vina nisaidia Sana kuwa makini.
Hongera sana, wengine pamoja na uzee wetu we ain't backing off just yet😅
 
UTULIE NA DEMU YUPI? KUNUNUA INAPENDEZA NA WALA HAINA STRESS.
UNASEMA DEMU WAKO UNATULIA NAE AU MNATULIA NAE MKIPEWA RATIBA KILA MTU? NI NGUMU KUPATA MARADHI YA ZINAA KWA MALAYA LAKINI KWA HUYO UNAYEMWITA DEMU WAKO NI FASTA.
Aisee just because your chick ni Malaya, haimaanisni kila mwanamke yuko hivyo bob.
 
Bado natafta chimbo la mwisho la malaya ili nile wa mwisho nitulie na kuoa
 
Back
Top Bottom