Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Imani ni kuamini mambo yasiyokua na uhakika km kwel yametokea
So izo ni imani zako sasa tupe fact maisha ya imani achia wajinga

Maneno bila facts ni kelele
 
Hao kundi la mwisho watunzwe na waheshimiwe Sana.
Ila kwa kizazi cha sasa ukiendekeza nyege mademu wanakupukutisha hawana huruma kabisa.

Ila kuna watu siku hizi wanapenda casual sex aka kulana kimasihala, yaani hizi huko makazini au mitaani zipo sana, yaani kama unafinya kumbe unapiga,utani utani mwingi tu mnajikuta mpo room.
 
Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.

Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.

tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Tafuta mwenza mmoja mwenye michepuko michache. Bora kununua kwa sababu utakuwa makini kujikinga kwa kuvaa condom kuliko hawa wanawake tunaodhani ni wa kwetu peke yetu kumbe wana watu wengine. CHA MUHIMU WATU WAOE KABISA ingawa nayo haikupi 100% ya usalama.
 
Kiss mwenza mmoja kuto kuwa mwaminifu, haimaanisni wote wako hivyo.
 
Ila kwa kizazi cha sasa ukiendekeza nyege mademu wanakupukutisha hawana huruma kabisa.

Ila kuna watu siku hizi wanapenda casual sex aka kulana kimasihala, yaani hizi huko makazini au mitaani zipo sana, yaani kama unafinya kumbe unapiga,utani utani mwingi tu mnajikuta mpo room.
dawa ni kufunga zipu tu, mwenza mmoja mwaminifu ana tosha.
 
Ila kwa wanaume tulivyo umbwa ni ngumu, tena ngumu sana.Kuna watu wameoa ila wanapiga ndondo kama kawa, sema kuna wale wanaojua kumute, ila wengine ndio lazima wajulikane na wake zao ni wanaume wachache sana ambao hawacheat. Kwanza hata hawa wanawake wanawawinda sana wanaume walio tulia na mke mmoja na tena ukioa ndio kabisa utategwa mpaka wengine hutumia tunguli.
 
Ila kwa wanaume tulivyo umbwa ni ngumu, tena ngumu sana.Kuna watu wameoa ila wanapiga ndondo kama kawa, sema kuna wale wanaojua kumute, ila wengine ndio lazima wajulikane na wake zao ni wanaume wachache sana ambao hawacheat. Kwanza hata hawa wanawake wanawawinda sana wanaume walio tulia na mke mmoja na tena ukioa ndio kabisa.
kaka Nina access ya kuwa gusa gusa, ila ndio hivyo tena nilisha amua kuwa uzinzi sio chaguo langu.

morning mazoezi, ubize mwingi, hauta waza Kama Kuna ngono
 
Kuna kipindi nilikuwa nimemaliza chuo nipo kitaa,aisee kuna mpaka wale nilikuwa naamini washika dini na wanawapenda wake zao, walikuwa wanapiga ndondo sio masihala tena na vitoto. Hivi visikie mpaka wanawake full kubutuliwa na vijana.Hivi ni ngumu sana tena sana.
 
Ili uzoee una takiwa kuona ni kawaida, yaani usi ikatae au kuitaka kupita kiasi.

Baadae uta ona ni normal Kama vitu vingine.
 
Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.

Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.

tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Naunga mkono hoja.
 
Mtu kakojolewa na mabolo zaidi ya matano usiku huo huo na wewe unawela la kwako.

Aisee kuna Mbulula duniano.
Kuna Malaya unaweza mnunua wiki nzimana sio kila Malaya anapigwa miti kila siku.

Ila dau limesimama
 
Ila kwa wanaume tulivyo umbwa ni ngumu, tena ngumu sana.Kuna watu wameoa ila wanapiga ndondo kama kawa, sema kuna wale wanaojua kumute, ila wengine ndio lazima wajulikane na wake zao ni wanaume wachache sana ambao hawacheat. Kwanza hata hawa wanawake wanawawinda sana wanaume walio tulia na mke mmoja na tena ukioa ndio kabisa utategwa mpaka wengine hutumia tunguli.
Ila huwa nashangaa sana wanawake kupenda waume za watu. Yaani siku hizi ukitaka kutafuna wanawake kilaini mpende kwanza mwanamke mmoja na uonyeshe unampenda kwelikweli.... utashangaa wengine wanaunga foleni ya kukutaka. Wanawake wengi wanawakataa vijana single na kuwakubalia waliooa kirahisi sana. Kwa mfani mimi huwa nikisema nitulie na mwanamke mmoja utashangaa ndani ya masaa 24 baada ya huo uamuzi wanajitokeza wengine kama 6 hivi. Inauma sana.
 
Back
Top Bottom