Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
- #161
Muhimu hilo, natazama movie hapa. Si una jua weekend hiiNamshukuru Mungu niko poa🙏🏽🙏🏽
Muhimu hilo, natazama movie hapa. Si una jua weekend hiiNamshukuru Mungu niko poa🙏🏽🙏🏽
Yeah! Weekend kufurahi mkuu.Muhimu hilo, natazama movie hapa. Si una jua weekend hii
Naam furaha jipe mwenyeweYeah! Weekend kufurahi mkuu.
Uko floor ipi hivi?Yeah! Weekend kufurahi mkuu.
😁😁😹, naitafuta ya 5Uko floor ipi hivi?
I'm serious😁😁😹, naitafuta ya 5
Hizo ni personal issues mkuu.I'm serious
allright, I mean no malice to nobodyHizo ni personal issues mkuu.
Tuachane nazo.
Sinaga mawivu na makenge majiwivu 😂 😂
upewe tu mzee.Miaka 78 hapa. Sijawahi kununua mbususu. Sijawahi kupata STDs. Nipewe maua yangu au nisipewe?
Haji manara niaje brooSinaga mawivu na makenge maji
Pole sana kaka, kuna muda unachoka hadi unatamani kweli hata mtu akwambie pumzika ila ndio hivyo.Jana nili kuwa na siku ndefu na yenye kuchosha, sijui nili lala saa ngapi ila nahisi kabla ya saa 5 .
Kwa Mara ya kwanza nili tamani Mtu ani ambie pumzika baba 😁😂
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO 💪Pole sana kaka, kuna muda unachoka hadi unatamani kweli hata mtu akwambie pumzika ila ndio hivyo.
Haya sasa umefika wakati uoe sasa😂😂😂 kina Lailati wapo wa kutosha huku nipate wifi wa kukwambia pumzika sasa.
Tafuta Sasa, angalau awe mtaratibu na msikivu.Pole sana kaka, kuna muda unachoka hadi unatamani kweli hata mtu akwambie pumzika ila ndio hivyo.
Haya sasa umefika wakati uoe sasa😂😂😂 kina Lailati wapo wa kutosha huku nipate wifi wa kukwambia pumzika sasa.
Sahihi kabisaFacts.
Sema hii miaka hii, au basi 😂😂Miaka 78 hapa. Sijawahi kununua mbususu. Sijawahi kupata STDs. Nipewe maua yangu au nisipewe?