Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.

Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.

tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Damn right!
 
Uko sahihi kabisa. Mimi nikipumzika wiki nakuwa mnene. Nikikaa mwezi ni janga. Siku hizi sipitishi siku 4 na hapo labda kuna sababu iliyoko nje ya uwezo.
Mimi asubui mazoezi, chai ni tangawizi Kali, karoti, kitunguu majim

Mchana matunda na maji au juice ya matunda.

Jioni ndio super combo menu
 
Malaya ni kama kitimoto braza inapigwa vita ajab hao hao wanaopiga vita ndiyo wateja wakuu wanakula kwa kujificha, embu tazama siku hizi mpaka mashoga wanapata wadau sisi wanaume laiti kama tungekuwa tunajitambua hawa wadada wasingezidi lakini ukiona bidhaa inaongezeka basi jua wateja ni wengi wanaume tunawindwa vibaya sana.
 
Kwanini unabaka?!,unatongoza mtoto wa form 2 na ulaghai wa chips mayai madoda ujuzi unaharibu watoto ni Bora anaye buy bitch kuliko mbakaji wa mtoto wa form 2 ,demu anataka ela na wewe umpi ela acha aendelee kuwa bitch , freestyle
 
Back
Top Bottom