Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.

Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.

tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
View attachment 3313911
Mtu kakojolewa na mabolo zaidi ya matano usiku huo huo na wewe unawela la kwako.

Aisee kuna Mbulula duniano.
 
Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.

Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.

tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
View attachment 3313911
ASIYE MALAYA ANAPATIKANA WAPI UTAMJUAJE SEMA AINA ZA MALAYA ...ASILIMIA 99 NI MALAYA SEMA TUME TOFAUTIANA AINA ZA UMALAYA ...wewe labda unsongelea wale wanao jiuza usiku.mabarabarani....ila hata huku mitaani nimalaya wa sampuri nyingine
 
Watu wanaostahili kupondwa mawe wafe
1. Wanunua malaya
2. Chaputa
3. Anaeoa single mother (mtu akishakua single mother anakua amefikia hatua hahitaji mwanaume anaejielewa, anatafuta mjinga mjinga au mpiga kinanda wa kanisani anaejifanya haoni wala hasikii. Wanawake wakiwa kwenye prime time zao hawajali kuhusu kujitunza, wala hawajilinganishi na wenzao mitaani bali na ma model na ma slay queen wa insta na TikTok, watautumia 'uhuru' wao kwa kushinda club na kubadili masela huku na kule na watazalishwa hapo pengine watoto wawili with two different baby daddies. Wakishachoka wanataka mtu atakae ignore historia yake, watakutungia stori hadi uhisi wanaonewa au jamii haiwaelewi vizuri, ama eti sasa wanajitambua so wanatafuta true love. Bro usimsaidie mjinga kama huyo kubeba majuto yake, don't be that retired ho's fallback plan.. unaaibisha baba na mababu zako.
 
MFUPI ana ladha yake..
KIMBAU MBAU ana ladha yake
MREFU ana ladha yake,...
MWEUSI ana ladha yake,...
MWEUPE ana ladha yake,...
CHIBONGE ana ladha yake,...
KIZIWI ana ladha yake,..
MCHINA ana ladha yake,..
MZUNGU ana ladha yake,..
MKIMYA ana ladha yake,...
MMASAI ana ladha yake,..
WANAFUNZI wana ladha yao,..
MNYAKYUSA ana ladha yake,...
MWENYE WOWOWO KUBWA ana ladha yake,....
MISHANGAZI ina ladha yake. ..( Poor Brain )

WANAWAKE wako wengi kuliko WANAUME ,..hao wengine nimwachie nani🤔🤔 mzabzab

Kwanza hamnaga mambo ya nuksi, uchawi, muujiza wala BARAKA,..wala dhambi,..hizo ni POROJO TU,... min -me

Haya maisha TUSIPANGIANE,.. wengine tanaona mwanaume kuna na mwanamke mmoja ni aina ugonjwa kama magonjwa mengine tu,....
 
Unakuta mtoa mada nae ni walewale wa kununua basi tu pengine kuna manzi siku moja kanunua alafu kampiga tukio...
 
Back
Top Bottom