Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

✊🏿Ni ufala sana.
 
Wanawake wa kitanzania asilimia 98 ni malaya, au wauza uchi. Wanataka pesa ya "kumhudumia" au "matunzo" hiyo transaction ukifanya unapewa uchi. Hawana tofauti na hao walioamua kuweka wazi biashara yao. Maana ata huyo unayemhudumia ukikosa pesa analiwa na mwingine atakayemhudumia. Elewa. Wengi mnalea malaya tu.
 
dah mwanangu hii misumari mikali sana
 
Fanya yako
 
Msipoteze muda kuhusu Malaya na wanaonunua Hizo ni dhambi kama dhambi nyingine tu, zilikuwepo na zitakuwepo tena bora zinaendana na asili ya mwanadamu -SEX.
Mbona kuna midhambi mikubwa tu zaidi ya hiyo:
1.Hivi malaya na mteja wake wanafanya mambo yao juu ya miili yao wenyewe kwa raha zao na Mwizi aliyekukwapua SIMU/ LAPTOP yako bora yupi??
2.Malaya na hawa mafisadi.Yupi bora
3.Malaya na wachawi hawa - wanawapanda watu usiku - kipi bora
4.Malaya Vs Wabakaji wa watoto wadogo kipi bora
5.Malaya VS Waongo,wanafiki, wachonganishi kipi bora?
6.Malaya VS wale polisi waliomsakizia jamaa mbwa kisutu akaumwa vibaya kipi bora.
7.Malaya Vs wauwaji, majambazi, wapoteza watu kipi bora??
8.Malaya VS wafanyakazi wa uma ambao bila rushwa hutoboi kwa huduma yoyote kipi bora??

Kuna mambo ambayo yapo kwa ajili ya kushauri watu na kuwaelewesha lkn sio kusakama kama huo umalaya sababu hao wanafanya kwa utashi wao wenyewe, kwa raha zao wenyewe, bila kukubuguzi wewe ingawa ni IMMORAL.
But kuna mengi zaidi ambayo yanapofanyika kwanza ni IMMORAL lkn pia yanawapa tabu za moja kwa moja hata wasiohusika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…