Oya masela, P. Funk yulee amerudi!

Hawa wasanii wa nikiwa nakata gogo hawawezi kumuelewa
 
Sidhani kama anafanya beats yeye mwenyewe, kuna madogo wako hapo. Yeye ni executive producer.
 
Oa weweee
 
Na kwa miaka hii aliye unda biti la wimbo wa marioo usinipande kichwani na ule wa acha ne enjoy ya diamond na wenzake wamejitahidi
 
Aliye gonga biti la nipe tano ya daz baba na
Baby wajua why ya dataz ft squeezer ni nani? Mpaka leo hizo biti nazielewa sana
Nipe 5 Production yake Mkali P-Funk Majani.
Why Production ya Lamar na Ambrose Dunga enzi hizo wakiwa pale 41 Records.
 
Kama Ludigo basi jau sana. Nilijua ni master J
Ludigo hakuwa vizuri kwenye instruments(hasa keyboard)
MJ yeye hasa alitengeneza kazi nyingi miaka ya 2000 kurudi chini(albums za Mr2, LWP, BDP,Kwanza Unit) , kipindi ambacho tech haikuwa kubwa kivile, beat imejaa kick na snare, hakuna basslines, hata kwa Majani ni ivyo ivyo, 'vinanda/magitaa' hakuna

miaka ya 2000 kuja juu, uingizo wa mashine mpya mpya za Studio, MJ akawa anawaachia kazi kina Marlon, Ludigo, Marijani, etc
yeye anafanya kazi baadhi baadhi siyo album , baadhi ya producers(Mahundi) wakawa wanafanya mastering kwake (MJ ndiyo ana master demos)

cheki hizi hapa kazi za Master Joachim (beat ikiwa na kinanda/keyboard ndani)

Your browser is not able to play this audio.

Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…