Hawa wasanii wa nikiwa nakata gogo hawawezi kumuelewaHebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi..!!
P.Funk arudi mazima ili aishitue kidogooo Bongo flavour..!!!
Ni P.Funk Majaniiii kwenye moja na mbili tenaaaa..!!!!
#YNWA