P. Diddy na kesi ya unyanyasaji wa Kingono

gstar

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
790
Reaction score
1,373
Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono Na kufanya biashara haramu.

Ila ajabu P DIDDY alipofika mahakamani alisimama na kupinga waziwazi kuwa yeye hakuwahi kutenda makosa kama hayo.
1000110671.jpg

Mahakama ikamletea ushahidi juu ya watu wa5 waliowahi kumshitaki P DIDDY kuwa aliwahi kuwapiga, kuwanywesha madawa ya kulevya kisha akashiriki nao ngono. Moja ya watu hao ni x wife wake anayefahamika kama CASSANDRA VENTURA maarufu kama CASSIE.
1000110670.jpg

Nyaraka za mahakama zilieleza kuwa mwaka 2023 mwezi wa 11 Tarehe 16, CASSANDRA VENTURA maarufu kama CASSIE, alipeleka malalamiko mahakamani akidai kunyanyaswa kijinsia “Sexual abuse”, kubakwa na kuteswa kwa miaka mingi ambayo alikuwa akiishi na P DIDDY.

Katika malalamiko hayo CASSIE Alisema kuwa katika maisha yao yakuishi kama mke na mume hayakuwa ya furaha kama yalivyokuwa yakionekana mbele za watu. CASSIE alidai P DIDDY amemnyanyasa kwa kipindi kirefu na amekuwa akivumilia kwa kipindi chote hicho.

CASSIE anaeleza P DIDDY alimuwekea mtego wa kumuingiza kwenye maisha ya ajabu baada ya mwaka 2005 kusainiwa kama muimbaji kwenye record label ya P DIDDY inayofahamika kama Badboy records.

Tokea hapo CASSIE alijikuta yuko penzini na P DIDDY na hapo ndipo alipoanza kukutana na changamoto ngumu zilizo mnyong’onyeza na kumuumiza.

CASSIE anaendelea kusema kuwa P DIDDY amekuwa na tabia ya kumlazimisha afanye ngono kinyume na matakwa yake na pindi alipokataa P DIDDY alimpiga mateke na kumlazimisha kufanya ngono na wanaume kadhaa huku P DIDDY akiwaangalia na kujichua kwa raha wakati CASSIE anafanya mapenzi kwa kulazimishwa na wanaume hao.

P DIDDY alionyesha kufurahia mchezo huo, na kuuita Freak Offs wakati wote huo alikuwa akichukua video huku akiendelea kujichua na kushikashika sehemu za nyuma za CASSIE.

CASSIE akaendelea kusema kuwa P DIDDY alikuwa hataki CASSIE aende mbali naye, mara zote alitoka kwa amri na alifanya atakacho. Alimlazimisha kutumia madawa ya kulevya, akidai yatamsaidia kufanya show nzuri wakati wa tendo.

Na kuna wakati P DIDDY alimtaka CASSIE abadilishe muonekano wake hasa sehemu ya kifua chake, akisema amechoka kuyaona maziwa yake madogo hivyo ayabadilishe yajae na yatune ili kuleta radha.

CASSIE Hakuwahi kukubaliana na wazo hilo, ila P DIDDY alimlazimisha na kumletea mtaalamu wa kufanya surgery “upasuaji” ili maziwa ya CASSIE yaonekane kama alivyotaka.

Surgery ilifanyika na maziwa ya CASSIE yakawa kama alivyo elekeza P DIDDY ila ajabu baada ya P DIDDY kumuona CASSIE akiwa kwenye muonekano huo alidai hajapendeza hivyo wabadilishe warudie surgery warudishe maziwa kama yalivyokuwa mwanzo.
1000110669.jpg

Hizo zilikuwa ni amri kwa P DIDDY kwenda kwa mpenzi wake CASSIE. CASSIE aliyachoka maisha hayo na kuamua kujitoa taratibu na kuanzisha mahusiano na rapper KID CUDI, however hakusaidia sababu P DIDDY alijua na akaamua kuunda mpango juu ya KID CUDI.

Mpango huo ulikuwa na motive ya kupoteza uhai kabisa kwa KID CUDE. Sababu P DIDDY alimtegea bomu ndani ya gari yake, Bomu ambalo lililipuka na kuteketeza kabisa gari ya KID CUBI lakini kwa bahati nzuri KID CUBI hakuwepo ndani ya gari hiyo.
1000110694.jpg

Baada ya tukio hilo kutokea P DIDDY akamuonya CESSIE kuwa aachane na KID CUBI mara moja otherwise tukio litalofuata next time halitakuwa la kubahatisa.

CASSIE aliendelea kuieleza mahakama kuwa P DIDDY alikuwa akimtaka amletee sex workers yaani wanawake wanaofanya biashara za ngono, “wanawake wanaojiuza”

CASSIE alifanya hivyo kisha hao wanawake walisafirishwa na kupelekwa kwenye madangulo tofauti na kubebeshwa madawa ya kulevya na kikundi cha vijana wahuni kinachomilikiwa na P DIDDY.

Japo P DIDDY alimuomba CASSIE afute malalamiko hayo mahakamani juu yake na CASSIE kukubali kufuta malalamiko hayo, hilo halikusaidia kitu sababu masiku kadhaa mbele ilivuja video ikimuonyesha P DIDDY akimpiga mateke CASSIE na kumburuza. Video hiyo ilihamsha hisia za watu na kuamini kumbe ni kweli alichokisema CASSIE juu ya kunyanyaswa na P DIDDY.

Kama hiyo haitoshi mahakama ilieleza kuwa producer wa music anayefahamika kama RODNEY JONES maarufu kama LiIL ROD, Naye pia aliwahi kufungua kesi ya malalamiko juu ya kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia “Sexual Abuse” na P DIDDY.

Katika nyaraka LiIL ROD alisema, P DIDDY alimpa kazi ya kumrekodia album yake mpya, hivyo alimuomba afike nyumbani kwake wazungumze. LiIL ROD alifanya hivyo na wakakubaliana kuanza kurekodi album hiyo.
1000110675.jpg

Ila mara kadhaa P DIDDY alimpigia simu usiku LiIL ROD na kuongea naye kwa lugha laini. P DIDDY alipoona LIL ROD mgumu kuelewa akaamua kumtuma CUBE GOODING aende kwa LiIL ROD azungumze naye.

CUBE GOODING alifika kwa LIL ROD wakapiga story mbili3 na kupata pombe kimtindo, kisha LIL ROD akaamuonyesha baadhi ya beat ambazo alikuwa akizitengeneza kwaajili ya P DIDDY..

Wakiwa katika mazungumzo hayo mara CUBE GOODING alianza kumshikashika LIL ROD huku akimueleza anapashwa kujiunga kwenye sherehe za P DIDDY zinazofahamika kama Freak Offs lakini LIL ROD alimtaka CUBE GOODING aondoke maana Muda ulikuwa umekwenda.

However masiku kadhaa mbele LIL ROD alikwenda kwenye sherehe hizo, huko alikutana na P DIDDY akiwa na wanawake wengi lakini pia na wasanii wakubwa ambao walikuwa wakinywa na kucheza.

P DIDDY baada ya kumuona LIL ROD alimfuata na kumkabidhi kinywaji, LIL ROD alikipokea kinywaji hicho na kukinywa lakini ghafla alianza kuhisi kizunguzungu na P DIDDY alimchukua na kumpeleka sehemu tulivu na kumtaka apumzike.

Akiwa amepumzika na kupata usingizi kimtindo alishangaa mkono ukipapasa makalio yake hapo alishtuka na kumuona P DIDDY akiwa anamfanyia vitendo hivyo.

LIL ROD aliamka haraka na kuondoka eneo hilo la sherehe. Kisha siku kadhaa mbele LIL ROD alimfungulia kesi P DIDDY kwa kumfanyiwa unyanyasaji wa kijinsia.

Mahakama pia imetaja watu wengine watatu ambao ni Joi Dickerson-Neal, Jane Doe na Dawn Richard ambao pia nao waliwahi kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia na P DIDDY.

P DIDDY tokea akamatwe Tarehe 16-09-2024 mpaka sasa hajapata dhamana, Bado Yupo kwenye gereza linalofahamika kama The Metropolitan Detention Center “MDC”.

Thread kwa msaada wa mitandao wa Twitter (X)
 
Attachments

  • ssstwitter.com_1727263070215.mp4
    602.4 KB
Dah! Dunia haiishiwi vituko
Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono Na kufanya biashara haramu.

Ila ajabu P DIDDY alipofika mahakamani alisimama na kupinga waziwazi kuwa yeye hakuwahi kutenda makosa kama hayo.
View attachment 3106645
Mahakama ikamletea ushahidi juu ya watu wa5 waliowahi kumshitaki P DIDDY kuwa aliwahi kuwapiga, kuwanywesha madawa ya kulevya kisha akashiriki nao ngono. Moja ya watu hao ni x wife wake anayefahamika kama CASSANDRA VENTURA maarufu kama CASSIE.
View attachment 3106646

View attachment 3106647
Hizo zilikuwa ni amri kwa P DIDDY kwenda kwa mpenzi wake CASSIE. CASSIE aliyachoka maisha hayo na kuamua kujitoa taratibu na kuanzisha mahusiano na rapper KID CUDI, however hakusaidia sababu P DIDDY alijua na akaamua kuunda mpango juu ya KID CUDI.

Mpango huo ulikuwa na motive ya kupoteza uhai kabisa kwa KID CUDE. Sababu P DIDDY alimtegea bomu ndani ya gari yake, Bomu ambalo lililipuka na kuteketeza kabisa gari ya KID CUBI lakini kwa bahati nzuri KID CUBI hakuwepo ndani ya gari hiyo.
View attachment 3106650

View attachment 3106653

Dunia hii ni zaidi ya tuijuavyo!!
 
P Diddy Kawaajili Wazungu Wengi kua Wafanyakazi Wandani
1727602436857.jpg
Ndo Kinawauma Wazungu Wanampa mikesi Kumdhalilisha Sasa Mafuta ya Watoto Mtu Aliyanunua Hili kwenda Kuwagawia Watoto Wasio Nauwezo 😎
 
mie nafikiria maoni yangu, diddy alikuwa na mpango wa kuanzisha Chama cha kisiasa cha watu weusi peke yao. Black people political party.
 
Kwa iyo sisi tuliopo MADABA, BONYOKWA na KISIWANDUI, MATOMONDO tunaowashabikia HAMAS, HEZBOLLAH, HOUTH, IRAN PAFU DADIII ametuwakilisha vyema etiiiiii

Basi mkeka usome GG
 
Habari za didy zinaongelewa zaidi tz na us kuliko mahali pengine duniani
 
Naunga mkono hoja kwa sababu kama wao wanapenda ushoga kwa nn yeye afanye wahahe!? Ina maana kafunga akili za mamilioni ya watu walioenda kwake akawafanyia hivyo vitendo wote walikaa kimya ni ngumu kuamini, wameona ana wafuasi wengi wakaona atajaza watu weusi kwenye Nchi Yao wakambambikia kesi.
 
da
Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono Na kufanya biashara haramu.

Ila ajabu P DIDDY alipofika mahakamani alisimama na kupinga waziwazi kuwa yeye hakuwahi kutenda makosa kama hayo.
View attachment 3106645
Mahakama ikamletea ushahidi juu ya watu wa5 waliowahi kumshitaki P DIDDY kuwa aliwahi kuwapiga, kuwanywesha madawa ya kulevya kisha akashiriki nao ngono. Moja ya watu hao ni x wife wake anayefahamika kama CASSANDRA VENTURA maarufu kama CASSIE.
View attachment 3106646
Nyaraka za mahakama zilieleza kuwa mwaka 2023 mwezi wa 11 Tarehe 16, CASSANDRA VENTURA maarufu kama CASSIE, alipeleka malalamiko mahakamani akidai kunyanyaswa kijinsia “Sexual abuse”, kubakwa na kuteswa kwa miaka mingi ambayo alikuwa akiishi na P DIDDY.

Katika malalamiko hayo CASSIE Alisema kuwa katika maisha yao yakuishi kama mke na mume hayakuwa ya furaha kama yalivyokuwa yakionekana mbele za watu. CASSIE alidai P DIDDY amemnyanyasa kwa kipindi kirefu na amekuwa akivumilia kwa kipindi chote hicho.

CASSIE anaeleza P DIDDY alimuwekea mtego wa kumuingiza kwenye maisha ya ajabu baada ya mwaka 2005 kusainiwa kama muimbaji kwenye record label ya P DIDDY inayofahamika kama Badboy records.

Tokea hapo CASSIE alijikuta yuko penzini na P DIDDY na hapo ndipo alipoanza kukutana na changamoto ngumu zilizo mnyong’onyeza na kumuumiza.

CASSIE anaendelea kusema kuwa P DIDDY amekuwa na tabia ya kumlazimisha afanye ngono kinyume na matakwa yake na pindi alipokataa P DIDDY alimpiga mateke na kumlazimisha kufanya ngono na wanaume kadhaa huku P DIDDY akiwaangalia na kujichua kwa raha wakati CASSIE anafanya mapenzi kwa kulazimishwa na wanaume hao.

P DIDDY alionyesha kufurahia mchezo huo, na kuuita Freak Offs wakati wote huo alikuwa akichukua video huku akiendelea kujichua na kushikashika sehemu za nyuma za CASSIE.

CASSIE akaendelea kusema kuwa P DIDDY alikuwa hataki CASSIE aende mbali naye, mara zote alitoka kwa amri na alifanya atakacho. Alimlazimisha kutumia madawa ya kulevya, akidai yatamsaidia kufanya show nzuri wakati wa tendo.

Na kuna wakati P DIDDY alimtaka CASSIE abadilishe muonekano wake hasa sehemu ya kifua chake, akisema amechoka kuyaona maziwa yake madogo hivyo ayabadilishe yajae na yatune ili kuleta radha.

CASSIE Hakuwahi kukubaliana na wazo hilo, ila P DIDDY alimlazimisha na kumletea mtaalamu wa kufanya surgery “upasuaji” ili maziwa ya CASSIE yaonekane kama alivyotaka.

Surgery ilifanyika na maziwa ya CASSIE yakawa kama alivyo elekeza P DIDDY ila ajabu baada ya P DIDDY kumuona CASSIE akiwa kwenye muonekano huo alidai hajapendeza hivyo wabadilishe warudie surgery warudishe maziwa kama yalivyokuwa mwanzo.
View attachment 3106647
Hizo zilikuwa ni amri kwa P DIDDY kwenda kwa mpenzi wake CASSIE. CASSIE aliyachoka maisha hayo na kuamua kujitoa taratibu na kuanzisha mahusiano na rapper KID CUDI, however hakusaidia sababu P DIDDY alijua na akaamua kuunda mpango juu ya KID CUDI.

Mpango huo ulikuwa na motive ya kupoteza uhai kabisa kwa KID CUDE. Sababu P DIDDY alimtegea bomu ndani ya gari yake, Bomu ambalo lililipuka na kuteketeza kabisa gari ya KID CUBI lakini kwa bahati nzuri KID CUBI hakuwepo ndani ya gari hiyo.
View attachment 3106650
Baada ya tukio hilo kutokea P DIDDY akamuonya CESSIE kuwa aachane na KID CUBI mara moja otherwise tukio litalofuata next time halitakuwa la kubahatisa.

CASSIE aliendelea kuieleza mahakama kuwa P DIDDY alikuwa akimtaka amletee sex workers yaani wanawake wanaofanya biashara za ngono, “wanawake wanaojiuza”

CASSIE alifanya hivyo kisha hao wanawake walisafirishwa na kupelekwa kwenye madangulo tofauti na kubebeshwa madawa ya kulevya na kikundi cha vijana wahuni kinachomilikiwa na P DIDDY.

Japo P DIDDY alimuomba CASSIE afute malalamiko hayo mahakamani juu yake na CASSIE kukubali kufuta malalamiko hayo, hilo halikusaidia kitu sababu masiku kadhaa mbele ilivuja video ikimuonyesha P DIDDY akimpiga mateke CASSIE na kumburuza. Video hiyo ilihamsha hisia za watu na kuamini kumbe ni kweli alichokisema CASSIE juu ya kunyanyaswa na P DIDDY.

Kama hiyo haitoshi mahakama ilieleza kuwa producer wa music anayefahamika kama RODNEY JONES maarufu kama LiIL ROD, Naye pia aliwahi kufungua kesi ya malalamiko juu ya kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia “Sexual Abuse” na P DIDDY.

Katika nyaraka LiIL ROD alisema, P DIDDY alimpa kazi ya kumrekodia album yake mpya, hivyo alimuomba afike nyumbani kwake wazungumze. LiIL ROD alifanya hivyo na wakakubaliana kuanza kurekodi album hiyo.
View attachment 3106653
Ila mara kadhaa P DIDDY alimpigia simu usiku LiIL ROD na kuongea naye kwa lugha laini. P DIDDY alipoona LIL ROD mgumu kuelewa akaamua kumtuma CUBE GOODING aende kwa LiIL ROD azungumze naye.

CUBE GOODING alifika kwa LIL ROD wakapiga story mbili3 na kupata pombe kimtindo, kisha LIL ROD akaamuonyesha baadhi ya beat ambazo alikuwa akizitengeneza kwaajili ya P DIDDY..

Wakiwa katika mazungumzo hayo mara CUBE GOODING alianza kumshikashika LIL ROD huku akimueleza anapashwa kujiunga kwenye sherehe za P DIDDY zinazofahamika kama Freak Offs lakini LIL ROD alimtaka CUBE GOODING aondoke maana Muda ulikuwa umekwenda.

However masiku kadhaa mbele LIL ROD alikwenda kwenye sherehe hizo, huko alikutana na P DIDDY akiwa na wanawake wengi lakini pia na wasanii wakubwa ambao walikuwa wakinywa na kucheza.

P DIDDY baada ya kumuona LIL ROD alimfuata na kumkabidhi kinywaji, LIL ROD alikipokea kinywaji hicho na kukinywa lakini ghafla alianza kuhisi kizunguzungu na P DIDDY alimchukua na kumpeleka sehemu tulivu na kumtaka apumzike.

Akiwa amepumzika na kupata usingizi kimtindo alishangaa mkono ukipapasa makalio yake hapo alishtuka na kumuona P DIDDY akiwa anamfanyia vitendo hivyo.

LIL ROD aliamka haraka na kuondoka eneo hilo la sherehe. Kisha siku kadhaa mbele LIL ROD alimfungulia kesi P DIDDY kwa kumfanyiwa unyanyasaji wa kijinsia.

Mahakama pia imetaja watu wengine watatu ambao ni Joi Dickerson-Neal, Jane Doe na Dawn Richard ambao pia nao waliwahi kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia na P DIDDY.

P DIDDY tokea akamatwe Tarehe 16-09-2024 mpaka sasa hajapata dhamana, Bado Yupo kwenye gereza linalofahamika kama The Metropolitan Detention Center “MDC”.

Thread kwa msaada wa mitandao wa Twitter (X)
kama ni kweli huyu diddy alikuwa shetani
 
Ali Msomali aka Diddy aka Shemeji kesi yake itaanza kuunguruma 05 May 2025 kwa kipindi mpaka kuanza kwa kesi atabaki tu "nyuma ya nondo" aka segedansi aka Lupango aka inside aka ndichi.
 
Back
Top Bottom