P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

View attachment 1913876
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabanna na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.

Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
Sasa hivi ataitwa babu.

Hivi huyo pacha mwingine alikosa kabisa kiatu kingine 🤔

Huyo mkubwa wa mbele mrembo sana na amependaza.nimeipenda gauni yake
 
View attachment 1913876
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabanna na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.

Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
Aliyetangulia nimemwelewa
 
Yaani wakati nasoma kwamba hao watoto wawili ni mapacha na huyo wa mbele ni wa mama mwingine nikataka kuuliza kwamba ina maana hao mapacha ni wa mama mmoja dah jamani tozo zina tuchanganya. Nimebaki najicheka mwenyewe tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 1913876
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabanna na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.

Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
Dah

wamenyimwa kabisa
 
Combs

Combs.jpg
 
Back
Top Bottom