P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

Sasa hivi ataitwa babu.

Hivi huyo pacha mwingine alikosa kabisa kiatu kingine 🤔

Huyo mkubwa wa mbele mrembo sana na amependaza.nimeipenda gauni yake
 
Aliyetangulia nimemwelewa
 
Yaani wakati nasoma kwamba hao watoto wawili ni mapacha na huyo wa mbele ni wa mama mwingine nikataka kuuliza kwamba ina maana hao mapacha ni wa mama mmoja dah jamani tozo zina tuchanganya. Nimebaki najicheka mwenyewe tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah

wamenyimwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…