P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

A
Likuwa anapiga huku na huku huyu mwamba, ila namkubali tajiri halafu anazaa, sio bill gates tajiri vitoto sijui viwili tu
 
Yaani wakati nasoma kwamba hao watoto wawili ni mapacha na huyo wa mbele ni wa mama mwingine nikataka kuuliza kwamba ina maana hao mapacha ni wa mama mmoja dah jamani tozo zina tuchanganya. Nimebaki najicheka mwenyewe tu.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji119][emoji119]
 
Huyo wa mbele kama mbongo fulani
 
Flat Kama Wachagga
 
Ughaibuni watu wana miili mikubwa mno,
Utadhani wako Kwenye Miaka 20-25s
 
Sean combs hazeeki tangumwaka 92 kipindi kile mimi ni kijana mdogo kabisa alikuwa anaroll na kina Christopher Wallace enzi hizo kina Jigga walikuwa wadogo kabisa na machawa wake maana mhuni kaanza kushika hela kitambo sana aisee so vijana waliokuwa underground wa Hiphop walimganda sana awasainishe BADBOYS ENTERTAINMENT baada ya kuona mafanikio ya Biggie small..hii pic alipost recently
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…