P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

Hela tu inawabeba. Hivi vya nyuma vibaya,vina sura ya kiume
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Hahahaha b Baba Mkwe kkaa kisharishari dah
 
Hawa akina mwajuma ndala ndefu wasunbufu sana.
Unataka utandikwe risasi za masaburi sio? Wewe endelea kukomaa na hawa hawa akina mwajuma wa buza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na engagement ring ya Ben anayo sasa hivi.
Wanawake bwuana, wakiwa sokoni 18-29 huwa hawashikiki, ngoja afike 30+, stress za kuolewa zinaanza na umri umeenda, huwa wanarudi wenyewe....
 
Mwamba hajaoa ila anakula bata na wanae.

Kuna wanga utasikia "bila ndoa hakuna maisha" HAYA NI NINI?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…