P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.

Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia kuliko hata unavyofikiria. Alisimamia mchongo mzima wa kumuondia Tupac, watu wakaenda mbali na kusema jamaa alishiriki kummaliza hata BIG kwa kiwa alitaka kuwa peke yake kwenye lebel ya Bad Boyz. Akajua Faith Evance kwake si tatizo lolote, atajua kuishi naye kuliko BIG.

Halafu mambo anayozungumziwa kuwaingilia kinyume na maumbile wanaume wenzake yanashamiri sana, mchungaji TD Jakes na Jamie Foxx wanaweza kutuambia zaidi kwenye hili.

Ukizunguana na P Diddy, sahau kuwa nominated na tuzo za Grammy, mwamba ana maubabe yake kishenzi.

Ila dunia ni hiihii, kuwa mafia ujuavyo, end of the day utakuja kulipa hapahapa duniani.

Karma is a B*itch.
 
Uwe unatoa credit kwa huko copy na paste yako mwanaume mzima.hovyo kabisa
 
Kiranga Extrovert
 
Ila mbona analiwa pia , umwamba vipi hapo
 
Inamaana wazungu ni waadilifu kweli. Mara chache sana kukuta staa wa kizungu ana kashfa za hawa mastaa weusi. Mtu kama 2pac angeendelea kuwepo pengine naye angekuwa na kashfa.
Alishakuwa na kashfa ya ngono kwa mabinti wadogo alichomoka kwa kulipa fidia ya B20 hivi za kibongo hawa watu weusi nyuma ya pazia sio watu wapole kiasi hicho jamani
 
Karibu wote aliowa sign kwenye label yake alikuwa anawafira kama condition ya kuwa promote. Amemla Usher Raymond, Meek Mill, TD Jakes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…