P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Mase sijui kama alitoka salama
 
Mbona jamii forum kama mnasupport sana nyuzi za ushoga ,huzi kama huu inabidi ufutwe humu kuna vijana under 18 mtu akisoma hivi vitu tunatengeneza kizazi cha kuona kutatuliwa Melinda ni jambo la kawaida
Ufutwe alafu sisi tusome nini?
 
Aisee hii dunia kuna watu wanavipaji...Just imagine mimi home Wife kaleta House girl mkali kinoma naogopa ata kumtongoza ila Didy anaweza mtongoza ata SnoopDogy kweli?
 
Aisee hii dunia kuna watu wanavipaji...Just imagine mimi home Wife kaleta House girl mkali kinoma naogopa ata kumtongoza ila Didy anaweza mtongoza ata SnoopDogy kweli?
kwa snoopy hata mm sikubali ila usher kaliwa sana tu, hata mama yake alikiri diddy kumwaribu mtoto wake. Ila mkuu hii dunia ina mambo nyuma ya pazia.
 
kwa snoopy hata mm sikubali ila usher kaliwa sana tu, hata mama yake alikiri diddy kumwaribu mtoto wake. Ila mkuu hii dunia ina mambo nyuma ya pazia.
Hapana jamaa ni mtaratibu sana ata kwenye uuimbaji wake unamuona hatumii nguvu...Swala la kusema anabandua wanaume wenzie napingana nalo kabsaa,Yaani mtu kama the Rocky.
 
Hapana jamaa ni mtaratibu sana ata kwenye uuimbaji wake unamuona hatumii nguvu...Swala la kusema anabandua wanaume wenzie napingana nalo kabsaa,Yaani mtu kama the Rocky.
endelea kuamini hvo ila ukipata wasaa muulize mondi alichofanywa na diddy
 
P didy ni mpuuz unaambiwa hadi snoop na 50 cent kawafumua marinda.

Ila binadamu. Yani Diddy anamtani kumtongoza snoop hadi snoop anakubali kabisa tena kwa hiari kutatuliwa?

Wazungu ni waongo na wabaguzi sana.
Sio kweli hao watu wawili hawawezi kuhusika na huo upuuzi mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…