P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Inamaana wazungu ni waadilifu kweli. Mara chache sana kukuta staa wa kizungu ana kashfa za hawa mastaa weusi. Mtu kama 2pac angeendelea kuwepo pengine naye angekuwa na kashfa.
Kuna mambo ni mazito sana Mkuu, kuna kashfa za Mahatma Ghandi aisee huwezi kuzania kabis ila ndio wanadamu tuna mambo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…