P. Diddy parties explained!

Mnyenz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
2,933
Reaction score
8,112
Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy.

Jamani ndugu zanguni, tujitahidi tupate utajiri mapema, zama zijazo maisha yatakua magumu sana.
(digital currency inakuja kurudisha utumwa katika namna yake)

Humu ndani ya video huyu mshua amezungumzia kuhusu watu kuwa maarufu wakati hawana cha maana wanachokifanya mpaka kiwape huo umaarufu yeye kawatolea mfano familia ya kina kadashian(hata bongo wapo wengi tu)

Pia amezungumzia Elon musk kutajirika from no where. Andrew tate (top G mwenyewe) amezungumziwa pia

ONYO: VIDEO IKO YOUTUBE. Kama Huna bando pita hivi. Kama kiingereza kinakupiga chenga pita hivi πŸ‘‹

Kama wewe ni mvivu mvivu kusikiliza podcast ndefu pita hiviπŸ‘‹ ukaibukie tikitok huko ndio kuna video mpaka za sekunde mbili(slavery mind)

Your browser is not able to display this video.

Pia soma: P. Diddy na kesi ya unyanyasaji wa Kingono
 
Usiamini kila kitu unachoona au kusikia kwenye Internet. Kwanza kwenye huu utitiri wa podcast, hawa watu wamejaa tantalila bila fact au mifano hai. Siku hizi ukiwa na microphones mbili tu na ukisema lolote kuhusu Elon Musk watu wanakuamini.
 
Na wewe pita hivi na maujinga yako!
 
Usiamini kila kitu unachoona au kusikia kwenye Internet. Kwanza kwenye huu utitiri wa podcast, hawa watu wajaa tantalila bila fact au mifano hai. Siku hizi ukiwa na microphones mbili tu na ukisema lolote kuhusu Elon Musk watu wanakuamini.
Umesikiliza kilichoongelewa mkuu?
 
Jay Z kuna msemo wake naupenda anasema hivi

"'Don't follow trend becouse trend is not you and is house of sand"

Tangia sakata la P Didy limeanza sijapoteza bando kufatilia wala kujua chochote.

Najua Kama hana hatia ataachiliwa na Kama anayo atafungwa

Is all about shit watu kujifanya wanayajua Sana maisha ya P Ddidy kuliko hata closed friend kama akina Jay Z n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…