Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy.
Jamani ndugu zanguni, tujitahidi tupate utajiri mapema, zama zijazo maisha yatakua magumu sana.
(digital currency inakuja kurudisha utumwa katika namna yake)
Humu ndani ya video huyu mshua amezungumzia kuhusu watu kuwa maarufu wakati hawana cha maana wanachokifanya mpaka kiwape huo umaarufu yeye kawatolea mfano familia ya kina kadashian(hata bongo wapo wengi tu)
Pia amezungumzia Elon musk kutajirika from no where. Andrew tate (top G mwenyewe) amezungumziwa pia
ONYO: VIDEO IKO YOUTUBE. Kama Huna bando pita hivi. Kama kiingereza kinakupiga chenga pita hivi 👋
Kama wewe ni mvivu mvivu kusikiliza podcast ndefu pita hivi👋 ukaibukie tikitok huko ndio kuna video mpaka za sekunde mbili(slavery mind)
Pia soma: P. Diddy na kesi ya unyanyasaji wa Kingono