P. Diddy parties explained!

Kwa hio ile party ulikua ufunguzi wa mafuta mapya ya pdidy kutoka kiwanda chake kipya au?
 
Nyau wewe unasimanga watu kama vile umezaliwa Ulaya kumbe kamjambeni tu...fwaalari kabisa🤣
 
Huyu jamaa kama mbongo tu! Kwamba kupata mafanikio lazima kila mtu apitie pattern ambazo yeye anazijua sio?(sio kweli tumeona watu wakizifata na hakuna kitu wamepata)

Amekuwa na mtazamo wa kizamani sana.Sio lazima upitie hustling au hizo pattern ndio ufike.Remember!success has nothing to do with how much effort you put on something or time you spent on it but other factors may play a role(lucky,chance and list goes on)

Kuhusu didy and washirika wake alichosema ni maoni binafsi ambayo hayana solid evidence(watu wanachojua ni kwamba jamaa kakamatwa na anakesi ya kujibu).

Kuhusu immorality,I think everyone has evil side sema tu hakuna anayetujua.I've seen blacks enslaving blacks,whites do the same,so do arabs and other races.Kwahiyo sioni point ya msingi hapa zaidi ya kutoa maoni binafsi ambayo unaweza kuyachukua au kupuuza kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…