Kiwa
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,102
- 907
Ha ha ha ha mkuu figganiga njo huku tuliendeleze sebene.
Mkuu mbona kama tulikuwa wote kule......kinywele kamwambia yule kijana waache uchocolate.
Ndo akachezea jamaa....!
Hhaahahah!mkuu kule sijamsoma Mod,ndo ikabidi nikusake huku!
Dah naamini majan katoa kichapo cha ukweli! Sasa mbona kamuacha na yule mwenzie?si angetandika wote tu?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums