Ha ha ha ha mkuu figganiga njo huku tuliendeleze sebene.
Mkuu mbona kama tulikuwa wote kule......kinywele kamwambia yule kijana waache uchocolate.
Ndo akachezea jamaa....!
Hhaahahah!mkuu kule sijamsoma Mod,ndo ikabidi nikusake huku!
Dah naamini majan katoa kichapo cha ukweli! Sasa mbona kamuacha na yule mwenzie?si angetandika wote tu?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Bas dogo kajipendekeza kala kubwa.....!
Hiyo ni sms kwao,akijipendekeza mwingine anakula kubwa mpaka apasuke.
Ila huu ni wakati mgumu inabidi tuvumiliane.Maana sio mchezo.
Ha ha ha ha mkuu figganiga njo huku tuliendeleze sebene.
Mkuu mbona kama tulikuwa wote kule......kinywele kamwambia yule kijana waache uchocolate.
Ndo akachezea jamaa....!
Ha ha ha ha mkuu figganiga njo huku tuliendeleze sebene.
Mkuu mbona kama tulikuwa wote kule......kinywele kamwambia yule kijana waache uchocolate.
Ndo akachezea jamaa....!
hahahaaa...!!! baba joniii kambetulia midomo kinywele, kinywele akasema usintanie. kuna ile gym ipa pale kituo cha mafuta maeneo ya sayansi nenda kesho asubuhi funk atakupa full story. Wameomba apige picha ili kuficha soo. haaahaa..!! mwenzio naogopa ban. ntafunguka kesho hasira za mod zikiisha. mia
funguka arifu.....mods wako maisha club wanakula bata.....hahahaaa...!!! baba joniii kambetulia midomo kinywele, kinywele akasema usintanie. kuna ile gym ipa pale kituo cha mafuta maeneo ya sayansi nenda kesho asubuhi funk atakupa full story. Wameomba apige picha ili kuficha soo. haaahaa..!! mwenzio naogopa ban. ntafunguka kesho hasira za mod zikiisha. mia
funguka arifu.....mods wako maisha club wanakula bata.....
funguka arifu.....mods wako maisha club wanakula bata.....
Ni kweli kabisa Bongo Records wamechangia 5million lakini sio kwa ajiri ya kusafirisha mwili bali ni mchango wa kufanikisha mazishi. Jukumu la kusafirisha mwili limechukuliwa na Clouds Media ambao wamehaidi kulipia gharama zote za usafiri.
Clouds wamezipata wapi kama sio zile zile za wasanii akiwemo Ngwair (R.I.P)?
Kwani hiyo pesa haitoshi kumsafirisha?
Au lazima wao clouds ndo waonekane wamemsafirisha.
Sio wao waliReport kuwa hali imekuwa ngumu
Kifedha?
Au ndo walikuwa wanajisafishia njia
Clouds wataendelea kua machokolet tu hasa chokolet kibonde, chokolet jerad hando, chokolet adam mchomvu, chokolet b12 na lichokolet likubwa la kuliwa harusini li big bogus bos ruge.
Watu mna maneno..... Uchocolate tena