miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Mkuu huo Ni Msamiati Mpya wa Miss Strong...kwa taarifa Zaidi Mtafute Mchomvu ndio Chocolate mwenyewe sema alikosea akauleta mpaka msibani....akala za Uso
Na safi sana kwa kumtuliza mchomvu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hiyo hela katoa wapi?
Mbona clouds walishasema watatoa usafiri?
Ha ha ha ha.........watachezea mwaka huu wakijipendekeza mpaka watajuta.
Tutawapasua Mfumo.....chezea wanaume.
P-Funk habari nyingine Waliberali wanataka umaarufu msibani hata hilo ombi la kusafirisha mwili lingekataliwa tu
Washadhulumu sana alafu wanakuja kutoa 4mil ni kitu gani?!
Wamekula hela ngapi ya Ngwea hawa machocolate?,wamekula hela ngapi ya wasanii hapa Bongo?
Hawaitajiki hata kwa mbali kwenye msiba au ndo wanataka wachukue video watafute na wadhamini wakauze kwenye ile Tv yao ya Machocolate?!
P. Funk ametoa kiasi cha Tsh.5m kusafirisha mwili wa Mangwea toka South mpaka Dar ilikuwa inatakiwa Tsh.4m na ushee.
Uchocolate haukubaliki msibani.....!
Mtu akiona makamanda wamekaa alafu anashoboka atachezea ilBoro.
P-Funk habari nyingine Waliberali wanataka umaarufu msibani hata hilo ombi la kusafirisha mwili lingekataliwa tu
Washadhulumu sana alafu wanakuja kutoa 4mil ni kitu gani?!
Wamekula hela ngapi ya Ngwea hawa machocolate?,wamekula hela ngapi ya wasanii hapa Bongo?
Hawaitajiki hata kwa mbali kwenye msiba au ndo wanataka wachukue video watafute na wadhamini wakauze kwenye ile Tv yao ya Machocolate?!
Hivi wewe ni mwanamme? Kama ni mwanamme unavyomwogopa huyo majani lazima akikuomba umlambe koni utakubali maana ukikataa anaweza akatishia kukupiga na wewe kupigana naye huwezi!
Unatia aibu.
hacha kutukana wewe mliberali mkubwa jana mwenzako kala ban ukiendelea nampm invisible mda huu.
Kwa vile uko mjinga kupindukia hii ndo itakuwa posting yangu ya mwisho kukujibu mjinga kama wewe maana ungekuwa mwerevu wala usingesema mwenzangu sijui nini nini. Endelea kuelea kwenye ujinga. I'm done with you.
Wadau mbona simwoni nyani ngabu
funguka arifu.....mods wako maisha club wanakula bata.....
Ni kweli kabisa Bongo Records wamechangia 5million lakini sio kwa ajiri ya kusafirisha mwili bali ni mchango wa kufanikisha mazishi. Jukumu la kusafirisha mwili limechukuliwa na Clouds Media ambao wamehaidi kulipia gharama zote za usafiri.