Nikikwambia unitajie vitabu alivyokopi Fid yawezekana hauna, ok but wimbo wa JCB ule wa Arusha ameukopi kutoka kwa Jay ZTatizo la ngosha hayuko original,mistari yake mingi anachukua kwenye mavitabu na pop culture ya mbele,kwa wasio soma vitabu na kuelewa muziki wa america ndo watapagawa naye,sisemi kuwa sio mkali,nmeanza kumsikiliza fid q enzi za huyu na yule iko kwenye top twenty ya bamiza,he is one of the best,lakini sio The best of all
wadanganye hao haokeyword ni ''MC MKALI'' mkuu!
shilingi zinazoingizwa ni topic mpya bruv
wadanganye hao hao
Aliyaongea hayo akiwa wapi?, anachambua mbegu za bangi?Yule mkali wa miondoko ya hip hop na producer namba moja aliyewahi kutamba kipindi cha nyuma P-funk majan amedai Fid q ndo mc namba moja dunian kote yaan hakuna zaid ya Fid q
Wawili hao ambao tayari wamerecord ngoma ya pamoja iitwayo mvua dude kali ambalo muda wowote litaachiwa hewan linalosubiliwa na mashabiki kwa hamu na mali. Fid q naye alimshukuru sana majan na kumwambia yeye ana mchango mkubwa sana kwenye mziki wa bongo
Kwa hiyo tukae tayali kulisubiri dude kali ngoma hatari kwa jina la mvua muda wowote litaachiwa
pole mkuu, sawa,hakuna aliedanganywa hapa.
kauli ya P ni kua Fid ni MC MKALI KULIKO WOTE DUNIANI!
hakusema anaeingiza mpunga mrefu zaid
Broo nafikiri arusha ilitoka kabla ya jiggerNikikwambia unitajie vitabu alivyokopi Fid yawezekana hauna, ok but wimbo wa JCB ule wa Arusha ameukopi kutoka kwa Jay Z
Ngosha ni balaa chalii, na kama ni issue za vitabuni na kuiga madude ya mbele,mnukuu RIP Remmy Ongala ' .....muziki ni wa nani, muziki hauna mwenyewe'Tatizo la ngosha hayuko original,mistari yake mingi anachukua kwenye mavitabu na pop culture ya mbele,kwa wasio soma vitabu na kuelewa muziki wa america ndo watapagawa naye,sisemi kuwa sio mkali,nmeanza kumsikiliza fid q enzi za huyu na yule iko kwenye top twenty ya bamiza,he is one of the best,lakini sio The best of all
Kama huna la kuchangia kaa kimya, tutakushambulia kwa matusi ujute fala wewe.Aliyaongea hayo akiwa wapi?, anachambua mbegu za bangi?
Mimi na ukoo wako wote nani fala?Kama huna la kuchangia kaa kimya, tutakushambulia kwa matusi ujute fala wewe.
Msamehe Mkuu.Huyo umbwa salu wote wanamukali ngosha kinoma afu wewe unaleta habar gan hapa
Mhhhhh kupotea sio njia tuBalozi,mimi mwenyewe,salu t,jcb,umbwa,etc
tobaaaaa!!! Mungu isaidie hip hop, Mungu msaidie fid QHuyo umbwa salu wote wanamukali ngosha kinoma afu wewe unaleta habar gan hapa