Kwa faida ya nani?P.funk aka majani ameweka tweet katika wall yake na kukataza au kupiga ban nyimbo zote za mangwair(R.I.P) kupigwa clouds FM
Sababu ya juu juu ambayo naweza kuiwakilisha ni kutokana na bifu...m
Nitaendelea kuleta updates zaid badae
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
P.funk aka majani ameweka tweet katika wall yake na kukataza au kupiga ban nyimbo zote za mangwair(R.I.P) kupigwa clouds FM
Sababu ya juu juu ambayo naweza kuiwakilisha ni kutokana na bifu...m
Nitaendelea kuleta updates zaid badae
Kwa faida ya nani?
Baba yako
hapa watu ndio watatumia nafasi hii kuonyeshana umwamba na kulipizana visasi.mbona mangwair mwenyewe wakati yupo hai hajawahi kupiga marufuku nyimbo zake kuchezwa clouds media?au yeye ndo hakuwa na uchungu na kazi zake......ni unafiki tu na kujitafutia umaarufu.bongo siku hizi hata misiba inatumika kisiasa!!!!
Baba yangu keshakufa, sasa ataipataje hiyo faida?Baba yako
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Baba yako
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ni kweli clouds hawapaswi kupiga nyimbo zake sababu wanahusika katika kumdidimiza baada ya ngwear kuwa anakataa show za fiesta kutokana na kupewa hela kidogo. mwenyewe alisema clouds wanampa bati akalifanyie nini? halafu alikua anamuunga mkono jide na amekufa akiwa njiani kuja kwenye show ya jide. Clouds walishindwa kumthamini akiwa hai iweje leo. big up majani. mia
Akipigwa BAN mi nitaandamana... watu wa aina hii nao ni muhimu kuwa nao katika jamii... maana kwa kupitia wao ndo tunajijuwa kiwango cha busara tulichonacho au kinyume chake .......... Au kwa maneno mengine, kuna watu wapo duniani ili wengine wapate pa kujifunza vitu mbali mbali ikiwemo busaraPlz mwekundu tupe updates kabla hujapigwa Ban, Mods mvumilieni kidogo atupe updates
Mkuu kwani baba ni tusi or any kind of insult?hujasoma sheria nn mkuu wangu!!Akipigwa BAN mi nitaandamana... watu wa aina hii nao ni muhimu kuwa nao katika jamii... maana kwa kupitia wao ndo tunajijuwa kiwango cha busara tulichonacho au kinyume chake .......... Au kwa maneno mengine, kuna watu wapo duniani ili wengine wapate pa kujifunza vitu mbali mbali ikiwemo busara
Mkuu hapa ni free media hakutakiwa achangie hvo he or she better ignored
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sikujuwa kama ulitaka wanasheria tu wachangie thread yako.... MASOMO YA MENGI, WOTE TUKISOMA SHERIA, NANI ATAFANYA MENGINE? Baba si tusi, ila ulipolitumia neno hilo pameonyesha ulitaka watu waelewe kitu gani... By the way, kuna jukwaa la sheriaMkuu kwani baba ni tusi or any kind of insult?hujasoma sheria nn mkuu wangu!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
muziki unakwenda wapi sijui,wasanii wananyonywa sana eeeenh?????
Kama huna jibu si ukae kimya!?