P.Funk majani amekataza nyimbo za Ngwair kupigwa CloudsFm

P.Funk majani amekataza nyimbo za Ngwair kupigwa CloudsFm

Ngwea hakuwa katika good terms na Clouds media, ndio sababu alipotezwa muda mrefu na hao manyang'au wa muziki. Walimdidimiza Ngwea ambaye kazi zake zinatangenezwa na P Funk na kuwanyanyua THT na producer Lamar, baada ya Ngwea kulalamika kubaniwa. Iweje wampende leo baada ya kutangulia mbele ya haki?
 
378070_442171482545973_1545010131_n.jpg
 
hehe kilausi ifu emu, poreeeni shana, looks like you guys are going down,
 
Hivi issue za copyrights ziliishia wapi? Sikujua kama na producer anaweza kuzuia nyimbo isipigwe.......am just thinking out loud kwa wasanii waliobaki.
 
Hivi huyo Ngwea alinyonywaje na Clouds wajameni, mbona mnahubiri sana ujamaa ulioshindwa kwenye karine ya 21 ya sayansi na teknolojia yenye soko huria?

Kuna zaidi ya redio 20 nchi, kama clouds hawapigi nyimbo zako inamaa ndio mwisho wa usanii?
Hivi ni wangapi humu tunatumikishwa na waajiri kwa vimishara duni..... huu ndio mfumo wa dunia yetu jamani hatuwezi kukaa tunalialia kama unaona mahali hapalipi unasepa.

na kwenye biashara hakuna rafiki wala adui wa kudumu mkae mkijua hilo, FIESTA ni tukio kwa mwaka maramoja wasanii zaidi ya 200 wa kibongo hivi mlitaka walipwe sh ngapi?

mkuu naona umekurupuka mangwea aligomea shoo ya fiesta kutokana na malipo kidogo tango hapo clouds wakawa hawapigi nyimbo za mangwea, tangu amefariki jana clouds wamekuwa wakipiga nyimbo zake na kumsifia sasa huu tunauitaje zaidi ya unafiki
 
Kwnye biashara hakuna adui wala rafiki wa kudumu...........take it au muulize Mr Sugu
 
Mh!sasa clouds kuna haja ya kujipanga upya maana mashambulizi yanazid kwao inamaanisha kuna jambo liko ndan ya clouds.

waulize hao wote wanaolalamika wanalazimishwa kwenda clouds media?mbona kuna media mbalimbali kwa nini wakiona wananyonywa wasisepe?ni wivu wa kike tu unawasumbua.we fanya kautafiti huko maofisini kuhusu malipo wanayopokea hao wafanyakazi na waulize ni wangapi wanaridhika nayo.wengi watalalamika hawaridhiki lakini kusepa hawasepi wapo tu!tunalalamika tu lakini hatuna uthubutu wa kujaribu maisha kwingine!!!unafiki/cowadz
 
Kuishia kuwalalamikia tu CLOUDS hakutamuinua yeyote, awe msanii au mshabiki wake.. Cha msingi ni kuchukuwa hatua sthiki.. Kumbuka kama mtu ni adui yako, ukifanya lolote yeye atafanya kinyume chake... Kama kila akifanyacho kinakuathiri.. BASI UKIMSHINDWA, JIUNGE NAYE...
 
waulize hao wote wanaolalamika wanalazimishwa kwenda clouds media?mbona kuna media mbalimbali kwa nini wakiona wananyonywa wasisepe?ni wivu wa kike tu unawasumbua.we fanya kautafiti huko maofisini kuhusu malipo wanayopokea hao wafanyakazi na waulize ni wangapi wanaridhika nayo.wengi watalalamika hawaridhiki lakini kusepa hawasepi wapo tu!tunalalamika tu lakini hatuna uthubutu wa kujaribu maisha kwingine!!!unafiki/cowadz
Mkuu, kuna watu kwa vile JD kalalama, basi nao wanaona wanatakiwa kulalama... WAENDE REDIO UHURU BASII.......... JD katoa nyimbo ngapi na zikapigwa CLOUDS ije iwe hii ya JOTO HASIRA.... baniani mbaya, kiatu chake dawa, haya ona sasa wanavyohaika kwa kukorofishana na clouds
 
yetu macho.....wataanza kuturushia ibada live nakwambia

Uzuri ya wanaokataa nyimbo zao zisipigwe Clouds ni wale wanaopotea ki muziki. Hata hivyo wasanii wa bongo wanaohitaji promo yao ni wengi sana. Kusema watafikia kipindi watarusha ibada hii inawezekana, Ruge alishasema redio ya ipo kwa ajili ya biashara na kupata profit, so kama ibada zitakuwa zinalipa watahamia tu huko.
Au l kufikia huko labda hadi wakina Jay Z, 50 cent etc wakatae na wao kupigwa nyimbo zao Clouds.
 
aliyekataa ni pro ludigo na kisheria hakimiliki inaruhusu kufanya hivyo. hyo message p katumiwa na ludigo naye akaiforward kwa choka.. alafu watanzania tusiwe wepesi kuhukumu. kabla ya kusea alikuwa mla unga nani anaweza kutuambia kwanini jamaa aliamua kubwia kwa kiasi hicho???
 
ungeanza kuwauliza mateja wa kinondoni, kwa nini wanabwia unga..
 
Back
Top Bottom