P.Funk majani amekataza nyimbo za Ngwair kupigwa CloudsFm

P.Funk majani amekataza nyimbo za Ngwair kupigwa CloudsFm

Baba yako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hivi hili jibu unaliona ni sahihi? Si umeulizwa swali badala ya kujibu unaandika juu ya mzazi, embu edit ni aibu. Kama unaandika then ukiulizwa hauna jibu unatoa mihasira hii ni no no.
 
Mkuu kwani baba ni tusi or any kind of insult?hujasoma sheria nn mkuu wangu!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums


Hivi hujaona jinsi ulivyoijibu kuwa ni ile staili ya kutukania kiflani kwa inavyotumika? Unajua ulichofanya na bado unabisha. Umemwendea na maneno hayo mawili kumwingia yeye direct, hii haitakiwi.
 
Hivi hujaona jinsi ulivyoijibu kuwa ni ile staili ya kutukania kiflani kwa inavyotumika? Unajua ulichofanya na bado unabisha. Umemwendea na maneno hayo mawili kumwingia yeye direct, hii haitakiwi.
Mkuu tuijadili mada hapa mezani,u r not sure kwn ww ndo unatukanaga hivi?don't judge me!!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kumbe ndiyo maana utakuta mtu ameomba wimbo wa Ngwair harafu utakuta haupigwi, siku nyingi nilikuwa najiuliza kumbe kulikuwa na bifu?
 
last ngwair.jpg picha alio mtumia Jaydee two days kabla ya kufa
 
Ebwanaeh! Me mpaka hivi sasa nabaki kucheka tu kwahili jibu, lakini binafsi nakubaliana nailo jibu sabu linaendana na swali lenyewe. Ameuliza utumbo amejibiwa kunya.

Agreed, muuliza swali kayataka mwenyewe.
 
Hawa Clouds mbona kila msanii anawalalamikia jamani!
Badilikeni!
 
P.funk aka majani ameweka tweet katika wall yake na kukataza au kupiga ban nyimbo zote za mangwair(R.I.P) kupigwa clouds FM
Sababu ya juu juu ambayo naweza kuiwakilisha ni kutokana na bifu...m
Nitaendelea kuleta updates zaid badae
ushaidi huu hapa
378070_442171482545973_1545010131_n.jpg



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ni Prof Ludigo na sio majani mkuu sawa soma vizuri hii sms...
 
Tunaishi kwa unafiki mkubwa,hivi unapojifanya kuguswa na kifo cha mtu ambaye ulikuwa ukijaribu kwa kila hali kumfanya maisha yake yawe chini unadhani wenye kuyajua hayo watakaa kimya?
Mungu anatuonesha kwa mara nyingine tena jinsi hawa wanyonyaji walivyo,badala ya kusikitika wangefanya pati kabisa ya kujipongeza maana kama kumdidimiza ilikuwa haitoshi sasa Mungu kawasaidia kukamilisha mipango yao.
Mungu akupumzishe Mangwea.
 
hahahaha huja2lia ww etii unga bora wa azam lol!
 
Hivi huyo Ngwea alinyonywaje na Clouds wajameni, mbona mnahubiri sana ujamaa ulioshindwa kwenye karine ya 21 ya sayansi na teknolojia yenye soko huria?

Kuna zaidi ya redio 20 nchi, kama clouds hawapigi nyimbo zako inamaa ndio mwisho wa usanii?
Hivi ni wangapi humu tunatumikishwa na waajiri kwa vimishara duni..... huu ndio mfumo wa dunia yetu jamani hatuwezi kukaa tunalialia kama unaona mahali hapalipi unasepa.

na kwenye biashara hakuna rafiki wala adui wa kudumu mkae mkijua hilo, FIESTA ni tukio kwa mwaka maramoja wasanii zaidi ya 200 wa kibongo hivi mlitaka walipwe sh ngapi?
 
Mh!sasa clouds kuna haja ya kujipanga upya maana mashambulizi yanazid kwao inamaanisha kuna jambo liko ndan ya clouds.
 
Back
Top Bottom