ungeanza kuwauliza mateja wa kinondoni, kwa nini wanabwia unga..
jibu rahisi,wanabwia kwa sababu ya stresi za clouds fm.naendelea kuuliza,hivi hao wasanii wanashikiwa bunduki kupeleka kazi zao clouds media au wanapeleka wao?kama clouds media hailipi vizuri peleka ipp si ni biashara huria?eti wataanza kuonyesha ibada as if ibada ni haramu au kitu cha ovyo kabisa kuonyesha!!!!kwa taarifa yao nyimbo sio bongo fleva tu za hao mateja wenu.