Chicco,
Ungekuwa unafuatilia habari tunazoposti humu usingetoa comment kama uliyoandika hapo juu. Ngwea hakuwa katika good terms na Clouds media, ndio sababu alipotezwa muda mrefu na hao manyang'au wa muziki. Walimdidimiza Ngwea ambaye kazi zake zinatangenezwa na P Funk na kuwanyanyua THT na producer Lamar, baada ya Ngwea kulalamika kubaniwa. Iweje wampende leo baada ya kutangulia mbele ya haki?
kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza
Hawa Clouds sasa inaonyesha kuwa ni janga kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii wanatakiwa kuungana kupambanaP.funk aka majani ameweka tweet katika wall yake na kukataza au kupiga ban nyimbo zote za mangwair(R.I.P) kupigwa clouds FM
Sababu ya juu juu ambayo naweza kuiwakilisha ni kutokana na bifu...m
Nitaendelea kuleta updates zaid badae
ushaidi huu hapa
![]()
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mwenye nyimbo alipokuwa hai hakuwahi kupiga marufuku nyimbo zake kupigwa kwenye stesheni sasa Majani na mibangi yake ni nani hadi kujifanya eti kupiga marufuku nyimbo,au kuwa producer ishakuwa taabu si aliamua kuwa mvuvi na basi aendelee kuvua hao ''vyangudoa''
eheheeee umeona shostisho wangu eeh habaki mtuhahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
Mh!sasa clouds kuna haja ya kujipanga upya maana mashambulizi yanazid kwao inamaanisha kuna jambo liko ndan ya clouds.
Baba yangu keshakufa, sasa ataipataje hiyo faida?
Hongerana mama yako
Huyo f.ala mtoto wa mama mwambieni apige marufuku nyimbo zake zote alizoshiriki kuzitengeneza kutokupigwa na Clouds. Asiishie kwa wimbo wa Mikasi tu.
Kwa jinsi wanavyolalama mitaani kuhusu CLOUDS, utadhani ni redio pekee TZ