Gigo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2006
- 455
- 47
Una haraka ya ku appreciate Kumbuka kuna tofauti Kati ya majani Na P funk je wajua?Brother you don't have to roam around, jambo kama hili halihitaji uchambuzi...it's just a single click and you choose one. Aliyesimamisha bongo flavour kuwa hivi ilivyo na kuinspire vijana wengi kuingia katika hii industry, unamjua na unamkubali, tatizo roho yako inakinzana na mwili. Tujifunze kuappreciate hata vile tusivyovipenda.
Ni Nani? Alie simamisha bongo flavor -
Hiyo tuachie wenyewe