P Funk Majani apewe Degree ya heshima

P Funk Majani apewe Degree ya heshima

Brother you don't have to roam around, jambo kama hili halihitaji uchambuzi...it's just a single click and you choose one. Aliyesimamisha bongo flavour kuwa hivi ilivyo na kuinspire vijana wengi kuingia katika hii industry, unamjua na unamkubali, tatizo roho yako inakinzana na mwili. Tujifunze kuappreciate hata vile tusivyovipenda.
Una haraka ya ku appreciate Kumbuka kuna tofauti Kati ya majani Na P funk je wajua?
Ni Nani? Alie simamisha bongo flavor -
Hiyo tuachie wenyewe
 
P Funk na Masoud Kipanya ni wasanii ambao wanastahili kupewa degree ya heshima.Labda wanasubiri mpaka wafe
Kipanya kwanza Ibra Radi washokera
Jamani waacheni wenyewe...
 
Una haraka ya ku appreciate Kumbuka kuna tofauti Kati ya majani Na P funk je wajua?
Ni Nani? Alie simamisha bongo flavor -
Hiyo tuachie wenyewe
This guy! Oh My God[emoji1]
 
Baloz, solo, sugu, moto wa tipa.
Saigon.
Balozi alikimbilia ulaya sijui marekani na huko hatujui maisha yake yakoje pengine anabeba box tu.

Solo Thang nae aliponyeka akakimbilia ulaya tunaona wenzake waliobaki wakina Jay Moe sijui Mchizi Mox maisha yao jinsi yalivyo yule mwingine Mad Malick madawa yalimuua kabisa.

Moto wa tipa ndio nani sio yule mnyanyua vitu vizito Zola D?!

Saigon sasa sijui kafanikiwa nini ile kuwa mtangazaji wa kipindi kilicho-fail eatv kwako ni mafanikio?!

Sugu ndio alikula dogo tena kwa juhudi zake binafsi maana alivyotoka ulaya hakuwa na mbele wa katikati..mafanikio yake hayahusiani kabisa na bongo Record.

Kifupi Majani kachangia kuwafelisha wasanii kibao wapo wapi Daz Nundaz wote mateja,wakina Ngwea,Juma Nature mlevi tu
 
Another one who's view is negative!
 
Back
Top Bottom