Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 399
Naomba niwashaur wana jf wenzangu kua tumpatieni huyu jamaa digrii ya heshima kutoka hapa jf.
Nadhani kila mtu anautambua mchango wake ktk tasnia ya mziki wa kizaz kipya hapa bongo,aisee jamaa ni mkareee hataree,ajira kibao kwa vijana wa kibongo imepatikana kupitia mziki ambao kwa kiasi kikubwa umechangiwa na p funk mpaka kufikia hapa ulipo sasa!
Ni wakati jamii ya jf tumtunukie heshima hii Na badala yake jina laje litakua ni DR.P FUNK MAJANI
Au mnasemaje wadau?