P Funk Majani apewe Degree ya heshima

P Funk Majani apewe Degree ya heshima

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
Naomba niwashaur wana jf wenzangu kua tumpatieni huyu jamaa digrii ya heshima kutoka hapa jf.

Nadhani kila mtu anautambua mchango wake ktk tasnia ya mziki wa kizaz kipya hapa bongo,aisee jamaa ni mkareee hataree,ajira kibao kwa vijana wa kibongo imepatikana kupitia mziki ambao kwa kiasi kikubwa umechangiwa na p funk mpaka kufikia hapa ulipo sasa!

Ni wakati jamii ya jf tumtunukie heshima hii Na badala yake jina laje litakua ni DR.P FUNK MAJANI

Au mnasemaje wadau?
 
....mimi naongelea mchango wake ktk jamii na wala siongelei ktk tasnia ya hip hop!
 
Vijana wamepata uhakika wa maisha yao kupitia muziki mzuri wa kibongo ulio fanikiwa kwa msaada na mchango wa p funk...
 
Naomba niwashaur wana jf wenzangu kua tumpatieni huyu jamaa digrii ya heshima kutoka hapa jf.

Nadhani kila mtu anautambua mchango wake ktk tasnia ya mziki wa kizaz kipya hapa bongo,aisee jamaa ni mkareee hataree,ajira kibao kwa vijana wa kibongo imepatikana kupitia mziki ambao kwa kiasi kikubwa umechangiwa na p funk mpaka kufikia hapa ulipo sasa!

Ni wakati jamii ya jf tumtunukie heshima hii Na badala yake jina laje litakua ni DR.P FUNK MAJANI

Au mnasemaje wadau?

Huo ni mtazamo wako inawezekana kachangia hata kupunguza ubora wa elimu hapa tz. Vijana wengi siku hizi hawawazi kusoma wanawaza mashairi tu mashairi yenyewe hayana vina na ya kiwa na vina hayana maana.
Na ndio maana baadhi yao wanashindwa kujibu mtihani wa kidato cha 4 na kuandika mashairi.
Ujinga sana.
 
Bila watu wa mkono wa kushoto kama nyinyi jamii haiendi....
Lazima criticizers muwepo so as the lyf to go on!
Sishangai.....
 
Huo ni mtazamo wako inawezekana kachangia hata kupunguza ubora wa elimu hapa tz. Vijana wengi siku hizi hawawazi kusoma wanawaza mashairi tu mashairi yenyewe hayana vina na ya kiwa na vina hayana maana.
Na ndio maana baadhi yao wanashindwa kujibu mtihani wa kidato cha 4 na kuandika mashairi.
Ujinga sana.

ivi wewe unajua maana ya elimu??
 
Mwite nyumbani kwako umpe. Hatujakuzuia, lakini vyuo vinataratibu zake. Bahati mbaya sanaa Bagamoyo sijui kama wana utaratibu huo. Labda jaribu THT university of ....
 
Hivi anaitwa majani sababu ya bangi au. Kama mnavuta pamoja nadhali hili wazo ni la kibangibangi. Hata kama kazi yake ni nzuri haigeuki degree. Pole zake.
 
Back
Top Bottom