data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Na bado mpaka utaandika na kichinaa hahahaahaha acha bangee kijana mdogo
hor..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado mpaka utaandika na kichinaa hahahaahaha acha bangee kijana mdogo
Kwani alikuwa peke yake hata Master Jay kawatoa wengi tu na wasanii wengi singo zao za mwanzo walianziaga Mj records ingawa mj na bongo records zilianzishwa sambamba na Prof jay alianziaga kwa Mj.
Na ukisema mchango zamani nyimbo nyingi zilikuwa zinarekodiwa studio tofauti na hizo za Mj na Bongorecords hao jamaa design wamefanya kama kuendeleza tu kulikuwa na Stuudio kama Mawingu. Kulikuwa na akina Mika mwamba pia walio watoa wasanii wengi.
Majani ana heshima yake ndio but sio kiivyo mkitaka muwatunuku wote hata akina Mika na MJ maana miaka ya 2000-2009 hivi ndo bongo records ilivuma sana ila muziki haukuanzia hapo.
Nahtaji wAtu kama wewe ktk mada hii.
Unachangia kwakutoenesha point za msingi na pia unatuwekea historia ya muziki wetu....
Hawa wanao tumia matusi sijui wanatokea wapi?
Huo ni mtazamo wako inawezekana kachangia hata kupunguza ubora wa elimu hapa tz. Vijana wengi siku hizi hawawazi kusoma wanawaza mashairi tu mashairi yenyewe hayana vina na ya kiwa na vina hayana maana.
Na ndio maana baadhi yao wanashindwa kujibu mtihani wa kidato cha 4 na kuandika mashairi.
Ujinga sana.
wewe ndo unaanza poteza sasa.,, sidhani kama tumefikia mwisho.
Nahtaji wAtu kama wewe ktk mada hii.
Unachangia kwakutoenesha point za msingi na pia unatuwekea historia ya muziki wetu....
Hawa wanao tumia matusi sijui wanatokea wapi?
i blame myself,!! Ths girl fights me back..,,sijui kwanin.
Mwambie aache basi.
i blame myself,!! Ths girl fights me back..,,sijui kwanin.
Mwambie aache basi.
Mmmhhh we ndio umenianzaa mimii hata huon aibu
do me a favor please may you stop...
acheni hizi