P Funk Majani apewe Degree ya heshima

P Funk Majani apewe Degree ya heshima

Kwani alikuwa peke yake hata Master Jay kawatoa wengi tu na wasanii wengi singo zao za mwanzo walianziaga Mj records ingawa mj na bongo records zilianzishwa sambamba na Prof jay alianziaga kwa Mj.

Na ukisema mchango zamani nyimbo nyingi zilikuwa zinarekodiwa studio tofauti na hizo za Mj na Bongorecords hao jamaa design wamefanya kama kuendeleza tu kulikuwa na Stuudio kama Mawingu. Kulikuwa na akina Mika mwamba pia walio watoa wasanii wengi.

Majani ana heshima yake ndio but sio kiivyo mkitaka muwatunuku wote hata akina Mika na MJ maana miaka ya 2000-2009 hivi ndo bongo records ilivuma sana ila muziki haukuanzia hapo.
 
Hhhahhhhahhhha data stimu imeishaa sasa tunaanza kuelewaanaa
 
Last edited by a moderator:

Nahtaji wAtu kama wewe ktk mada hii.
Unachangia kwakutoenesha point za msingi na pia unatuwekea historia ya muziki wetu....
Hawa wanao tumia matusi sijui wanatokea wapi?
 
Nahtaji wAtu kama wewe ktk mada hii.
Unachangia kwakutoenesha point za msingi na pia unatuwekea historia ya muziki wetu....
Hawa wanao tumia matusi sijui wanatokea wapi?

Yeah cha msingi ni ku argue with fact sio kutukana bila point.
 
Nyinyi mnao tumia lugha chafu ebu jaribuni kujiheshimu mimi sikuanzisha mada kwa ajir ya kuonesha namna gani watu wanayajua matusi,kama unapoint changia bila presha na matusi peleka hukoooo.
Hata hvyo ukitukana unajichoresha tuuu,heshima is of cheapest price,so guys stick to the main idea and not some shit words!
 
Huo ni mtazamo wako inawezekana kachangia hata kupunguza ubora wa elimu hapa tz. Vijana wengi siku hizi hawawazi kusoma wanawaza mashairi tu mashairi yenyewe hayana vina na ya kiwa na vina hayana maana.
Na ndio maana baadhi yao wanashindwa kujibu mtihani wa kidato cha 4 na kuandika mashairi.
Ujinga sana.

Lakini hilo ni suala lingine kabisa mkuu. Ishu apo ni jinsi gani jamaa kasaidia kutengeneza ajira ktk soko la muziki.
 
Nahtaji wAtu kama wewe ktk mada hii.
Unachangia kwakutoenesha point za msingi na pia unatuwekea historia ya muziki wetu....
Hawa wanao tumia matusi sijui wanatokea wapi?

I agree...........s/he said very well hadi unasikia raha kumsoma

watu lazima waheshim mawazo ya wenzao we cant think alike hum ndani
 
data

Mimi nilidhani ligi ya matusi imekwisha na tunahamia kwenye ligi ya hoja kwa hoja kumbe bado wengine mpo!

Nakuomba
# Heaven On Earth tusaidie na huyu aache matusi bwana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom