P-Funk Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

P-Funk Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

Ila majani yuko sexy jamani,sijui ni mimi tu?yaaani vile anaongea na ule ununda anasound sooooooo sexy
Sipendagi wanaume weupe ila majani ni 🔥🔥

Hata bure nampa dadeq!
Kwani sh. ngapi kwa sisi wengine ambao ni weupe na hutupendi kama Majani?
 
Kushindwana ni given kama wewe sio Majani
Kikubwa mazungumzo yawe na TIJA,mi ni optimistic na ni mbadilishaji wa matokeo muda wowote ule pasipo matarajio.
Anyway,mi siyo Majani,na najua reaction yako kwa mtu kama mimi ambaye siyo Majani,hivyo nipokee CONDITIONALLY,offer muachie Majani,nadhani umeelewa.
 
mi ni optimistic na ni mbadilishaji wa matokeo muda wowote ule pasipo matarajio.
Hii haifanyi kazi kwangu
Nabaki na msimamo uliopo,siku zote,mara zote
 
Paula ni binti atakayekuja kuwa na maisha mazuri Sana , probably ndo atakuwa nguzo kuu ya P-Funk majani, mwanao ni mwanao tuu, kama Baba lazima usimamie ubaba wako to the end...majani bado ana akili za kitoto...
asee!
 
Majani ana watoto sita, kwanini ni Paula tu ambae hashikiki.

Anyway, Paula sio mtoto tena yule, ni zaidi ya 18, P Funk kwao wana uzungu flani ivi mtu ukifika 18 wewe ni mtu mzima tayari tofauti na wabongo wengi wanamuona mtu ana 25 bado mtoto
 
Hakukuwa kabisa na haja ya yeye kuyaongelea hayo kwenye chombo cha habari.

Ni masuala binafsi. Hakuna haja wala sababu ya kuufaidisha umma, tena ambao hauna msaada wowote zaidi ya kufurahia, kuchekelea, na kuombea drama ziendelee, utadhani ni tamthilia.

Kama mama na mwana wameamua kuyaanika maisha yao kwenye mtandao, ni vyema yeye akajitofautisha nao na kutoyazungumzia kabisa mambo yao hadharani.

Ila anatia huruma.

Kama sijakosea ni juzi juzi tu hapa alitoka kuchimba biti kwamba atamdhuru sijui ndo Reivani yule...kwa kujirekodi video akiwa na hako kabinti [kake].

Leo kanukuliwa akisema kumbe kabinti kenyewe kameshamwambia kuwa yeye si baba yake.

Angekuwa ni majinuni endapo angekapigania hako kabinti, ikiwa ni pamoja na kujiweka au kujiingiza kwenye hali ya hatari, halafu kumbe kabinti kenyewe kanamkana kuwa si baba yake.

Just bad. All bad.
 
Na wewe mtoa post umeteleza.
Hujui kiundani yaliyo katika hiyo familia.
Ingekuwa vema ungeshauri kuliko kuhukumu.
 
Back
Top Bottom